Anayefahamu kuhusu biashara ya Q-Net

Anayefahamu kuhusu biashara ya Q-Net

Qnet ni matapeli kuna jamaa yangu alijiunga july mwaka jana alinunua saa kama m4 hivi akawa ananishauri nijiunge akiahidi kuna pesa nje nje nikamwambia nampa miezi sita atagundua katapeliwa nashukuru ilichukua miezi mitatu kujua ule ni utapeli wa kisheria.
Alitapeliwaje? Alifanyakazi akaona halipwi? Au alinunua product akatulia nyumbani ategemee pesa zimfate hapo alipo?
 
Nimesikia kuwa hii ni business networking organization na watu wanapiga mkwanja wakutosha huko. Naomba kama kuna anayeifahamu hii atujuze kwa maslahi ya wengi.
Nguvu ya mtu haipotei hata cku moja, ni kweli Qnet watu wanatengeneza pesa ili mradi tu ufanyekazi mana hamna pesa za bure bure duniani, ukiona unapata pesa kirahisi ujue hapo kuna tatizo
 
ukiona unaitwa kwenye fursa wewe ndiye fursa mwenyewe..... Binafsi kuna mdau alitaka kuniunga huko lakini nikaanza kuona makando kando kwenye hizo presentation zao,
1. hawataki ushee na mtu information zao, kama umepata anaejiunga umpeleke pale wao watampiga darasa, hapa nilidoubt
2. bidhaa zao wanauza ghali sana, seriously na huu msoto wa bongo ninunue saa mil 2 ? si bora niende huko kibaha ndan ndan ninunue heka moja ?
3.wanapenda kujisifia sifia sana mara flani kanunua gari)wao kwa wao), mara ooh tunalipwa kwa dola sijui nini, lengo ni kukupa moto ili na wewe ujiunge fasta...

ukijiunga sijui na wewe utafute watu wajiunge kupitia wewe, ndio upate kamisheni, chain iendelee hivo hivo...
niliwahi kuhudhuria presentation moja ya forever miaka michache ilopita, sikupendezwa naona wanafanana japo huku amna kiingilio kama forever na huku amna kuuza bidhaa bali unanunua ukatumie mwenyewe....

kwa kifupi nimeona ni ubabaishaji tu amna lolote, za kuambiwa changanya na zako hamna hela rahisi
 
Yan naiona mil 4 na laki tano hyooo..inatokomea...kusikojulikana...shaur yenu..mwenzenu mpaka leo anavushwa barabara ya vumbi na watoto wadogo...kwa stress za Q net
 
Alitapeliwaje? Alifanyakazi akaona halipwi? Au alinunua product akatulia nyumbani ategemee pesa zimfate hapo alipo?
utapeli unaanzia mbali, nyie mna fake kuanzia mentor wale wanaofundisha wata claim title za uongo kwa mfano kipindi naenda mie kuna mentor wawili walijifanya madokta mmoja kasema yupo mwananyamala mwingine alikuwa hospital ya mnazi mmoja zanzibar ila kaacha kazi kuna mmoja nilimuuliza swali simple tu akashindwa kujibu kabisa nilimuuliza nephrotic syndrome inasababishwa na nini alishindwa hata jua kuwa ni ugonjwa wa figo na uhakika hata wa pili ningemuuliza angeshindwa kujibu uongeaji wake hauonyeshi ni mtu aliyesoma M.D

utapeli wa pili kufake maisha ili mtu aone mafanikio yenu ni halisi jamaa yangu alikuwa anaazima gari ili aende akapaki ofisni kwenu siku za presentation pale ile ofisi ya njia ya kwenda mwananyamala kama sio utapeli haya yote ya nini. na alikuwa anawaambia watu wengine kanunua gari kwa pesa za qnet.

kama biashara yenu ni halali acheni ku embed vitu visivyo halisi jionyesheni kwa watu kuwa nyie ni choka mbaya mnatafuta wajinga wa kuwapiga. jamaa yangu aliacha baada ya kuona hapati watu wa kuwapiga million 4 ikabidi aache kabisa hata kuja huko manake alituita akribia rafiki zake wote kwenye huo utapeli tukamtolea nje.
 
Mbona Mazuri ya Qnet hamyaongelei, mnayaongekea mabaya tu ambayo mtu mmoja au wawili ambayo na yenyewe hamjayathibitisha??
 
mkuu naongea kuwatahadharisha watu kuwa makini na qnet sina conflict of interest na qnet nimehudhuria presentation zenu zote mbili so naongea kwa kitu nilichojifunza kwenu kama kuna mtu anaona chance ya kutusua qnet its ok aende tu lakin kufanya kazi na watu wanaofake maisha ni hatari.
 
juzi niliende sinza mabatini wako pale jirani yangu aliniita et kuna biashara nzuri, wana maneno mengi san
 
Alaaaaaa kumbe matapeli eeee, hiyo ya ku-fake mambo ndio inawaaibisha, mara injinia, mara dokta, mara tra nikaacha, mhhhhh
 
ni mataplei watu wana fake maisha ili wakunase wana azima magari wana claims title za uongo kama sio utapeli ni nini. pia wana vipisi va magazeti wanadai haari zao zilichapishwa citizen na mwananchi nadhani ukifuatilia unaweza jua hata hizo ni fake
 
Cha bure ni kipi hapo Francis? People are paid in commissions basis we unasema wanatapeliwa?? Kwanza Qnet ni muunganiko wa makampuni mengi tu ilo ni jina tu la kimtandaoni...Maisha ya watu yanabadilika kutokana na Qnet we unasema utapeli?? Mtaje aliyetapeliwa na useme ametapeliwa kwa staili gani then tuongee vizuri
We mwehu kweli wewe si ndiyo umechukua mil 5 zangu umekimbia fala kabisa
 
Nimesikia kuwa hii ni business networking organization na watu wanapiga mkwanja wakutosha huko. Naomba kama kuna anayeifahamu hii atujuze kwa maslahi ya wengi.
Qnet ni iko poa, ila watu wataiponda ilhali hawaijui. Ukitaka kufanikiwa jifunze kupitia waliofanikiwa, sio walioshindwa maisha na wanakaa mitandaoni wakiponda Kila kitu. Qnet is world wide organisation na Mimi binafsi nimeifahamia Malaysia nilipokuwa chuo Perak.
 
Baada ya Forex now ni Qnet haya karibuuuni tupate elimu dunia
 
ukiona unaitwa kwenye fursa wewe ndiye fursa mwenyewe..... Binafsi kuna mdau alitaka kuniunga huko lakini nikaanza kuona makando kando kwenye hizo presentation zao,
1. hawataki ushee na mtu information zao, kama umepata anaejiunga umpeleke pale wao watampiga darasa, hapa nilidoubt
2. bidhaa zao wanauza ghali sana, seriously na huu msoto wa bongo ninunue saa mil 2 ? si bora niende huko kibaha ndan ndan ninunue heka moja ?
3.wanapenda kujisifia sifia sana mara flani kanunua gari)wao kwa wao), mara ooh tunalipwa kwa dola sijui nini, lengo ni kukupa moto ili na wewe ujiunge fasta...

ukijiunga sijui na wewe utafute watu wajiunge kupitia wewe, ndio upate kamisheni, chain iendelee hivo hivo...
niliwahi kuhudhuria presentation moja ya forever miaka michache ilopita, sikupendezwa naona wanafanana japo huku amna kiingilio kama forever na huku amna kuuza bidhaa bali unanunua ukatumie mwenyewe....

kwa kifupi nimeona ni ubabaishaji tu amna lolote, za kuambiwa changanya na zako hamna hela rahisi
Ukienda kwenye semina muda wowote salamu ni good morning partners , nilishangaaa, jioni "good morning partners"
 
Ndo mana nasema, wote humu mnaoiponda Qnet ni hamuifahamu laiti kama mngekuwa mnaijua mngepambana mkajoin..
 
Back
Top Bottom