kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,946
- 5,487
Naomba kuwauliza wana Jf kama kuna mtu amesha wahi kusikia lolote kuhusiana na hii biashara ya Q-NET anielezee. Kwasababu hivi karibuni kuna ndugu yangu ameniomba nimkopeshe hela kias cha shilingi milioni moja ili aweze kujiunga na hii bishara.
Nilitaka kujua kwanza inahusiana na nini. Alini elezea kifupi kwamba ni biashara unayo jiunga kwa kiasi cha shilingi milioni 3 ambapo ukisha jiunga kuna points unapata za kuanzia, na pia kuna products mbalimbali kama elimu, holidays, kununua vitu kama saa na vingine.
Sasa ishu ni kwamba mimi nna wasiwasi na hiyo biashara yenyewe wanaiita Q-NET, sijawahi isikia mahali na nahisi ni kama hizi biashara nyingine kama za kina Rifaro na kina GNLD na forever living
na pili sina uhakika kama ataweza nirudishia hiyo pesa pindi itakapo gundulika kama ni utapeli.
Nimejaribu kumshauri aachane nayo lakini amekua akisisitiza nimpatie hiyo pesa kwasababu ni biashara itakayo imlipa Vizuri na atanirudishia ndani ya mwezi mmoja.
Naomba mwenye ufahamu wa hii business inayo fahamika kama Q-NET anifafanulie.