Acha matusi kama huna cha kukomenti soma comment za wenzako na usepe. Sio lazima kukoment poa?
Kama umeona matapishi poa lakini hali halisi ndio hiyo wewe endelea kuona matapishi tu wenzio wanaona maendeleo utabaki hivyo hivyo.nimeona matapishi tu ya mwanadada apo juu sioni cha kukomenti. Nyumba nzuri utaiona tu kwa nje sio lazma uingie ndani kama unavotulazimisha hivyo vimipango vya ccm. Ungesema jk kakamilisha hiki cha maana tungekwelewa
Serekali tumeichagua hili ilete maendeleo na ndio wajibu wake, haya mnayojivunia nia sehemu ndogo ya matarajio yetu sisi wapiga kura, ukizingatia kuwa nchi yetu ina rasilimali nyingi, hivyo kama rasilimali zinatumika ipasavyo tunatarajia kuona mambo makubwa kuliko haya manayojisifia nayo.
Reli ya Kati ilijengwa na Wajerumani Reli ya Tazara ilijengwa na Mchina.
Ofcause china ikojuuu sana kiuchumi yaani zaidi ya mara 1000 ya nchi yetu so wachina kujenga reli ni muhimu sana kwa maendeleo yetu.
Wewe hasa unachotaka nini kifanyike sasa?. Maana mikataba inarekebishwa hutaki au ndio kama yule mtoto asiyejua kuwa chakula kiko jikoni na anataka ale wakati hakijaiva?
Okey mimi nadhani huu ndio mwanzo ninatumaini yatakuwa zaidi ya hapa.
Annael, kinachoangaliwa hapa sio final product on its own, bali what took us to get there. Kwa rasilimali tulizonazo, na ukubwa na deni la taifa, tulitakiwa tuwe mbali kabisa na sio hivyo viji miradi ya kuku.
Daraja la Kigamboni kama umegundua ni tofauti na ilivyokuwa imepangwa. They've gone for a very cheaper daraja. Ukija kwenye mradi wa mabasi yaendayo kasi, kama kumbukumbu zangu ni sahihi mwaka jana tulioneshwa aina ya mabasi yatakayotumika - ni viji-bus vya TATA - daladala like. Sielewi kwanini hawakufikiria kuweka 'Trams'?
Hela zipo (Swiss) na bado tunaendelea kukopa. For what? Kukarabative Locomotive Trains kwenda Kigoma?
Kuzuru TAZARA, Tanzania tunachangia kiasi gani kukarabati? Another humialiation, baada ya miaka yote bado tumeenda kuwaangukia wachina watusaidie kuikarabati! Na hiyo hospitali ya kimataifa unasema inajengwa, unajua nani anafadhili huo ujenzi, na amepata nini in return?
[h=1]Active Projects[/h] |
|
| ||
Display Results in set of: 10 | ||
[h=1][/h] |
| |
Kwa hakika nchi yetu imeanza kujikwamua tena kwa kasi sasa. Nataraji mda si mrefu nchi yetu itakuwa na maendeleo makubwa.
Nimekuwa nikijionea kwa macho yangu jinsi miradi mbalimbali hapa nchini inavyoenda kwa kasi. Hii ni dalili tosha kabisa kwamba viongozi wetu wameamka kutoka katika usingizi waliokuwa nao.
Nitajaribu kutaja baadthi ya miradi inayoendelea hapa nchini na italeta chachu kubwa sana ya maendeleo.
1. Ujenzi wa Hospitali ya kimataifa: Huu ni mradi ambao tayari umekwisha kuanza. Hospitali hiyo itajengwa maeneo ya kisarawe ambayo itakuwa na kiwanja cha ndege. vilevile kutakuwepo na chuo cha madaktari, wauguzi na wafamasia. Hospitali hiyo itarajiwa kumalizika mwaka 2014.
2. Ujenzi wa daraja la kigamboni: Huu mradi tayari umeshafunguliwa na tayari sasa daraja kwaajiri ya kuwasaidia wajenzi limeshawekwa. ni matumaini yangu mda si mrefu ujenzi wa daraja hilo utaanza.
3. Mabasi yaendayo kwa kasi: Katika kutatua tatiza la foleni kwa wenyeji wa dar es salaam nadhani wanajionea wenyewe jinsi shughuli za ujenzi wa njia za mabasi yaendayo kwa kasi inavyo enda kwa kasi.
4. Upanuzi wa barabara mbalimbali: Kila mmoja mwenye macho anaona jinsi miradi ya ujenzi na upanuzi wa barabara zetu unavyo enda kwa kasi.
5. Kupitiwa kwa mikataba mbalimbali: Mikataba mbalimbali ambayo ni mibovu inapitiwa na kurekebishwa. Mikataba ya madini na na mingine mingi tu.
6. Kuwa na umeme wa kudumu: Ujenzi wa bomba la gesi abao kwa uhakika utaondoa kabisa tatizo la umeme nchini.
7. Reli ya tazara: Ukarabati wa reli ya tazara utarahisisha usafiri wa watu waendao kusini mwa tanzania tayari sasa serikali ya Tanzania, Zambia na China wameshaanza utaratibu wa kuikarabati reli hiyo.
Kwa hayo machache tu na mengine yapo mengi. Hii ni dalili tosha kabisa nchi yetu inapiga hatua kwa kasi.
Tutambue kuwa kuna nchi hawataki kuona nchi yetu ikiendelea maana itakapoendelea watakuwa hawana chao kwetu.
Kwahiyo anayebeza maendeleo haya basi hana nia njema na nchi yetu.
Hizi hapa project zinaendelea hapa nchini
Active Projects
[1] 2 Display Results in set of: 10 50100
Tanzania - Accelerated Food Security Project Tanzania 160 Active 09-JUN-2009 Second Central Transport Corridor Project Tanzania 190 Active 27-MAY-2008 Science & Technology Higher Education Tanzania 100 Active 27-MAY-2008 TZ-GEF Energy Dvpt and Access Expansion Tanzania 0 Active 13-DEC-2007 TZ-Energy Development & Access Expansion Tanzania 105 Active 13-DEC-2007 Performance Results and Accountability Project Tanzania 40 Active 27-SEP-2007 Zanzibar Basic Education Improvement Project Tanzania 42 Active 24-APR-2007 Water Sector Support Project Tanzania 200 Active 13-FEB-2007 Tanzania Agricultural Sector Development Project Tanzania 90 Active 15-JUN-2006 Financial Sector Support Project Tanzania 15 Active 15-JUN-2006 Private Sector/MSME Competitiveness Tanzania 95 Active 15-DEC-2005 Marine and Coastal Environment Management Tanzania 51 Active 21-JUL-2005 Marine and Coastal Environmental Management Project Tanzania 0 Active 21-JUL-2005 Tanzania Second Social Action Fund Tanzania 150 Active 30-NOV-2004 IND TRADE ADJ Tanzania 12.5 Active 13-MAR-1989
Tatizo la annaele haoni vitu vya msingi kabisa.Kuna vitu vimefanyika ccm wakiw amdarakani hawakufanya wao ila wanataka chukua credit.Rwanda walikuwa wakijenga barabara na na kupata mafuta wakati vita vikiendelea, somalia,afghanistani na wengine wanajenga barabara huku vita vikiwa mbele, na mara nyingine barabara zikibomolea kwa mabomu na makandarasi wakitekwa.Hiili la Tazana na utafiti wa mafuta wenye uwekezaji wao hufauta hizo mambo bila hata kuitwa.Sasa Mkopo na hel ya NSSf inahusika vipi na CCM kujenga daraja la kigamboni?NSSF ni wawekezaji wanatafuta kipato ,kupkopesha na kuwekeza ndio njia sahihi kwao.sasa hivi wanatoa mikopo kwa wanachama kupitia saccos.sasa useme kuwa hela ya wavuja jasho niya CCM.Nyingine za world bank,ADB etc wote hao kama si wafadhili ni wawekezaji wanaotukopesha na kutudai riba.kazi yao ni kukopesha kama bank, na kutafuta wakopaji ni jukumu lao.
Gamba ni gamba tuu.Utaweka list kibao lakini katik ya hayo yote utakuta CCM hakuna kitu zaidi ya kuipunguza ubora kwa kuiba.
Umeziona projects hizo lakini?
Jibu maswali haya (kama unaweza):
Ukileta hayo majibu tuambie kama kwako hayo ndiyo maendeleo.
- Nani ana-finance hizo projects?
- Project concepts za miradi hiyo ziliandikwa lini?
- Contribution ya serikali kwenye hizo projects ni ipi na inahusu nini?
- Financiers wametoa grants au credits?
- Financing ikisimama projects zitaendelea?
Wanao beza ni wale wenye macho lakini hawaoni kutokana na shuka la uchadema limeziba nyuso zao. Haya maendeleo ni sumu kwao, kila jema linalo fanyika linarudisha nyuma ndoto zao.
Umeziona projects hizo lakini?
FJM,
Naona kiwanda chako kipya kimekamilika lini uzinduzi?