Anaweza kuwa Mtoto wako

Anaweza kuwa Mtoto wako

Juzi nilikuwa kwenye internet cafe pembeni yangu kulikuwa na watoto wa wawili wa kiume miaka kama 10 au 11 wamefungua page mbili moja FB nyingine ponograph wakiona mtu anasogea wanaweka Fb kiukweli nilishindwa kusema kitu ila nina wafahamu na wazazi wao nitajaribu kusema nao maana tupo mtaa mmoja, sasa najiuliza walijuaje mitandao ya picha za ngono huu utandawazi. Utatumaliza

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Hiyo kwenye Cafe nyingi ipo sana, ukiona ma- teenager wa kiume wawili wamekaa karibu kimyaa au
wanaongea kwa sauti ya chini halafu wako makini na mouse ujue wanatazama Ponograph!
Hatari hii. Wazazi mkiwa sebuleni mnaongea mambo yenu kwa mafumbo watoto wanawang'ong'a tu
 
siku moja unajikuta unamtongoza mwanao kwenye fb huna habari mnapanga mkutane gesti hapo ndio kimbembe kitakapotokea
 
Kuna jambo jingine nililiona kwa harakaharaka. Kwenye notification alikuwa na message kama 5, maana yake ni mwanachama active. Isitoshe kibaya zaidi alipoanza kunionyesha anachokifanya alikuwa ana requests za friendship
kama watu 5 na kwa haraka haraka akawa ana-accept (bila hata kuangalia profile ya huyo mtu), hilo kweli nilimkataza kwa kumwambia si sawa ku-accept kila mtu.

Na ana confidance kweli, hata password yake alikuwa anaweka kwa kujipinda nisiione!
usiyemjua

password anaficha ili inbox anakuonesha wazi bila aibu. Napata taabu kuamini hii stori. Akili za mtoto wa miaka minane haijakomaa mpaka kuwa na akili ya kujiwekea fake identity / personality kwenye mtandao. Na kama hii stori ni ya kweli ni jukumu lako kama anko wake kuwaambia wazazi wake ulichokiona kuliko kuja kusimulia hapa ukijifanya kuhurumia kizazi cha huyu mtoto mdogo.
 
Kama wewe imekuwa vigumu kuamini kama mimi mwanzo basi kuna tatizo kubwa kwenye jamii yetu hasa watoto.
Sijui kwa nini nimsingizie, ili iweje!!

Halafu si kila jambo unaloliona kwa mtoto unaenda kumsimulia mzazi wake haraka haraka, lazima kutumia busara kuwafahamu vizuri wazazi wake (kwa sababu sijazoeana nao sana). Na hata mtoto ni vizuri kujua kwanza ni vipi amefikia hatua hiyo, unaweza kukuta kuna mlolongo wa ndugu hapo kwao na huo ndio mchezo.

Inawezekana imekuwa rahisi kwangu kujua hayo yote kwa sababu ni rafiki wa watoto. Ninapoishi kuna hata baadhi majirani zangu siwajui majina, lakini ukitaka kujua leo nimekula nini waulize watoto. Nawafahamu vizuri
 
siku moja unajikuta unamtongoza mwanao kwenye fb huna habari mnapanga mkutane gesti hapo ndio kimbembe kitakapotokea

Halafu umemwambia hujaoa na wewe ni meneja wa kampuni fulani!!
 
dotcom hii, mbona tuna kazi. kusema kweli mambo mengine wazazi tuna entartain.
 
Ingekuwa ni mtoto wako si ungetaka mtu aje kukuambia, au sio? Kama huyo mtoto amejisikia comfortable sana kudiriki kukuomba laptop na kukuonesha Facebook account yake basi na wewe unaweza ukaenda kuwaambia wazazi wake. Wanaweza wachukie, wapuuzie, au washukuru kuwa umewataarifu, maana huenda wazazi hawana habari na kitu kinaitwa Facebook. Si kosa lao. Kama ni stori ya kweli, utajisikiaje kusikia haka katoto kamebakwa au kupotea? Tusiwe wepesi kuhukumu katoto ka miaka minane au hata kizazi chote sababu ya katoto kamoja.

Mkumbuke bado ni watoto. Mkiona mitoto inaangalia pornography kwenye internet cafe, sema kitu. Toa taarifa kwa mwenye duka kama unaona aibu. Fikiria ingekuwa mtoto wako. Wataona aibu kufokewa lakini nakuahidi watafikiria mara mbilimbili kabla ya kurudia hiyo tabia. Msisubiri waende kujaribiana walichokiona.

Kama wewe imekuwa vigumu kuamini kama mimi mwanzo basi kuna tatizo kubwa kwenye jamii yetu hasa watoto.
Sijui kwa nini nimsingizie, ili iweje!!

Halafu si kila jambo unaloliona kwa mtoto unaenda kumsimulia mzazi wake haraka haraka, lazima kutumia busara kuwafahamu vizuri wazazi wake (kwa sababu sijazoeana nao sana). Na hata mtoto ni vizuri kujua kwanza ni vipi amefikia hatua hiyo, unaweza kukuta kuna mlolongo wa ndugu hapo kwao na huo ndio mchezo.

Inawezekana imekuwa rahisi kwangu kujua hayo yote kwa sababu ni rafiki wa watoto. Ninapoishi kuna hata baadhi majirani zangu siwajui majina, lakini ukitaka kujua leo nimekula nini waulize watoto. Nawafahamu vizuri
 
Nanyie bana kwa kujichetua!hivi ni mtoto gani atakaye soma msondo ngoma baba anasim ya toch mama ana line simu hana akajua kutumia facebook huyo wakishua bana
muulizeni mtoa mada kama haja kwambia anasoma fm academia au akudo ipact kingeleza kimo shuleni wanafundishwa pc na dada zake au kaka zake wanatumia pc zaidi ya hapo mtoa mada peleka uwazi usituone wajinga...nimepita tuu kasuku mtu
 
Ni kweli ni Academia, na huwezi kujua kutumia kama hujafundishwa
Kama anaitumia maana yake amefundishwa, na kujua kuitumia siyo kuharibika
kuharibika ni namna unavyoitumia.

Hivi umenisoma kweli, nimesema ndiyo mara ya kwanza kuniomba which means nyakati
zingine ana-access mahali kwingine - inaweza kuwa kwao or wherever.
 
Tufyakwa for her and her friends !!!
See za gelooooo !!!
 
Ya ni kweli kabisa utakuta madogo wanacheza na mouse mwanzo mwisho huku kijasho kikiwatoka.Tutafika tumechoka mno !!!!
 
Kuna movie inaitwa TRUST, unaweza soma zaidi hapa

A dark drama about the damaging effects an online sexual predator has on a family. Clive Owen and Catherine Keener will play the parents of a 14-year-old girl who are stunned to discover she has been victimized by an adult who gained her trust posing as a teenager on a chat room.
 
Nchi zingine wana sheria kari sana kuhusu hay maswala n zinafuatwa kabisa, Kuna Nchi haziruhusu kabisa watoto kuwa na acount za Fb au hata kutumia mitandao ya Internet zaiditu y kucheza game nyumbanikwao,

Bongo kuna wazazi wanaona fahari sana watoto wao wa miaka 10 kumiliki simu na hata kuwa n acountza fb tena unkut mazazi anajisufu sana mtaani, hajui kwamba anamchimbi mwanae kaburi, Huu utandawaziuutakwa na atahri kubwa sana kwa africa kuliko hata kwa walio nazisha huu utandawazi,

Na wazazi ndo wakulaumiwa zaidi kwa sababu hata huyo mtoto unaweza kuta either mama yak anjua kwamba mtoto wake ana acount fb ila mama anaona poa tu, na hapo ikitokea watoto wakawa ni wale a Geti kali kinacho kuja kutokea ni wao kupractise,

Ilosha wahi tokea Arusha Watoto kupigan mimba kwa kisa kama hicho, walikuwa kila mahali wakienda ni ulizi Kanisani wanenda kwa gari, shoping wao na wazazi, Nyumbani geti ni kari, Na nyumbani walikuwa na kila kitu means internet, na kilicho kuja kutokea wazai hawatakisahau make watoto walikuja kupractise kile walicho kuwa wanatazama kwenye mitandao,na kupeana mimba na wazazi walijua fika kwamba watoto wao ni watumiaji wa internet,
 
Aisee!
Nilimuuliza mwanangu kama ana email account akasema hana; kama shuleni wana Internet access akasema hawana. (Faida moja wapo ya boarding school; huwezi enda Internet cafe). Na kummanage mtoto wakati wa likizo ni rahisi.
Ngoja leo nimtege kama ana FB account nijue. Aisee kazi ipo!
 
kuna rafiki yangu bintiyake ana miaka 12 ana marafiki 130,huwa naangaliaga picha zakeee nabaki! haya.

Unafikir nimenyamaza mtani!
mamake ni mmojawa hao130 na comment zake saaasa!

Aisee!
Nilimuuliza mwanangu kama ana email account akasema hana; kama shuleni wana Internet access akasema hawana. (Faida moja wapo ya boarding school; huwezi enda Internet cafe). Na kummanage mtoto wakati wa likizo ni rahisi.
Ngoja leo nimtege kama ana FB account nijue. Aisee kazi ipo!
Nitaendelea kuwa mzazi wa kizamani........
Mwanangu atajinunulia simu yake binafsi akiwa chuo au atakapoanza kazi, kwa hela yake.
Internet atatumia under my supervision
 
We nawe sijui vipi!Unatarajia akuambie kirahisi rahisi hivyo?Fanya uchunguzi wa kina bana. . . . . . Jiulize kwanini nakushauri hivi!
 
Nitaendelea kuwa mzazi wa kizamani........
Mwanangu atajinunulia simu yake binafsi akiwa chuo au atakapoanza kazi, kwa hela yake.
Internet atatumia under my supervision

Naungana nawe, ila sina uhakika huko mbele ya safari tutafikaje. Coz tutakataa kuwanunulia simu, ila 'mijitu' yenyewe itanunua na itampa (mbaya akiwa mtoto wa kike, au hata wa kiume yaweza tokea).

Nilikuja kustuka mtoto wangu wa miaka 9 kafunguliwa akaunti FB na ndugu yake, who is 12 (ambaye hatuishi naye), tayari na lundo la marafiki! Ndugu mwenyewe yeye 'amejaaliwa' kununuliwa simu na mzazi wake, kwa hiyo kwake upatikanaji wa internet siyo shida. Sasa wa kwangu anashangaa, kuwa kwa nini yeye simnunulii simu wakati mwenzake amenunuliwa simu na mzazi wake? Na kwa nini yeye asiruhusiwe kuendelea kutumia FB wakati kwa mwenzie siyo shida? Na mazingira yaliyopo ni lazima kipindi fulani ndugu akae kwangu, unaona mazingira ya ulezi hapo?
 
kuna siku mwanangu wa 13 years alirudi home na simu kapewa na dadangu..... nikaichukua ile simu mpaka leo ipo chumbani kwangu. siku nyingine binamu yangu akampa simu, mwanangu akaikataa na akamwambia kuwa mama ataichukua maana anasema tutumie simu ya nyumbani.
ndugu zangu huwa hawanielewi na misimamo yangu lakini ndo nimeamua maisha ya watoto wangu yatakuwa hivyo. hawahitaji simu privately. wana simu ya nyumbani ambayo ni ya kila mtu, wakitaka hao watu wawapigie kwa namba ya simu ya nyumbani ambayo mimi pia naweza kuipokea au kusoma sms.
 
Back
Top Bottom