Anaweza kuwa Mtoto wako

Anaweza kuwa Mtoto wako

We nawe sijui vipi!Unatarajia akuambie kirahisi rahisi hivyo?Fanya uchunguzi wa kina bana. . . . . . Jiulize kwanini nakushauri hivi!

Hana, amekuwa boarding since he was 7 so l know. Na shuleni hawana access ya Internet, nyumbani hakuna desk top; so if he has to use a computer then ni laptop yangu ambayo anahitaji moderm.
Simu aliyo nayo ni nokia ya torch.
 
Ili upate uhakika muulize rafiki yake kama ana account ya facebook. Sasa hivi ukimuuliza yeye atakuwa
ameshtuka kama ana akaunti kweli kwa sababu ya maswali yako ya kimtego kuhusu net.

Tumia trick kali. Kwa bahati nzuri nina ukaribu sana na watoto, aisee wapo wengi sana wameharibika!
na kwao ni rahisi sana kufunguka kwa mtu anayeongea nao kirafiki. Ila huwa hawajui kwamba na mimi
ni mnoko lazima mashtaka yafike!
 
I was talking about email address ndio maana nikasema hana.
FB account nimemuuliza amesema anayo alifunguliwa this dec na cousin wake, akanipa user name, fone no na passwword; nimeingia nimekuta posts za dec, wakati akiwa na cousin wake so nimei-delete account.

So monitoring ni kipindi cha likizo; ameniahidi that l can trust him not to open another account.
 
Back
Top Bottom