Chadema imefanikiwa kuwa tasisi kubwa sana indicators hili ni jinsi inavyotajwa kwenye mitandao inatajwa zaidi ya ccm,ndiyo maana akina kigogo,chahali,Kimambi kutwa kucha ni chadema chadema jamani muwe mnaiongelea hata TLP basiChahali ni Kigogo aliyepooza