Anaumwa sana.

Anaumwa sana.

Kabakabana

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
5,550
Reaction score
1,166
Ananipenda,ananijali!Nilishaanza kuwa na amani moyoni mwangu kwa mapenzi mazito niliyopokea kutoka kwake.Tangu jana mpenzi wangu ameanza kuumwa sana,presha iko juu sana mpaka leo hali bado sio nzuri.
Kama Mungu nilivyokuambia kuwa huyu mwanaume ni furaha yangu,nakuomba umrudishie afya yake jamani.
 
pole sana...God forbid.. lakini i will be here for you
 
pole sana mpe pole laazizi wako.lkn huu ujumbe sijui ni wetu ss wa jf au wa mungu tumeudandia tu.
 
Mpe pole sana jaman,
Mungu wetu ni mwema atamponyesha haraka.
 
Mpe pole nyingi na angalia usiondoke pembeni mwake kulog in JF
 
Love in the air! Enjoy mama. Tunamwombea shemeji apone haraka.

Akikutenda pole yangu anirudishie
 
Tushirikiane katika maombi. Kila mtu kwa imani yake na sala zetu zitamfikia mwenyezi Mungu muweza yote hiyo ilikuwa ni maana yangu.Ahsanteni
 
Nakushauri umpeleke Garage haraka sana acha kupoteza muda humu.
Tutaendelea kumwombea wakati mafundi wanamshughulikia.
Mpe pole.
I'm here for you too!
 
Nakushauri umpeleke Garage haraka sana acha kupoteza muda humu.
Tutaendelea kumwombea wakati mafundi wanamshughulikia.
Mpe pole.
I'm here for you too!

wakamshughulikie?
Mungi, uko serious kweli?
 
Mwenyezi Mungu ampe wepesi apone haraka.... Pole dear.
 
nafahamu uko kwenye wakati mgumu rafiki. lkn kumbuka Mungu ana makusudi ya kumfanya shem augue, yote ni
kutaka kukupima utam care vipi kipindi kama hiki, je, ww ni wa dhati kweli kwake?
kumbuka rafiki wa kweli hujionyesha kipindi kama hiki.
tupo pamoja.
 
Pole sana sheemeeejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....................
 
ananipenda,ananijali!nilishaanza kuwa na amani moyoni mwangu kwa mapenzi mazito niliyopokea kutoka kwake.tangu jana mpenzi wangu ameanza kuumwa sana,presha iko juu sana mpaka leo hali bado sio nzuri.
Kama mungu nilivyokuambia kuwa huyu mwanaume ni furaha yangu,nakuomba umrudishie afya yake jamani.

hakuna lolote,labda amesikia unalukaluka sasa presha inapanda ,jirekebishe wewe binti hata hapo unaonekana hujatulia.
 
mmmmmmmmmmh!.........hope atapona,ili furaha yako iendelee....pole sana
 
Nakushauri umpeleke Garage haraka sana acha kupoteza muda humu.
Tutaendelea kumwombea wakati mafundi wanamshughulikia.
Mpe pole.
I'm here for you too!

Garage ipi Mungi wakati mafundi wameweka tools down hadi BN ang'oke! timuombee tu huyo laaziz wake apone.
 
Back
Top Bottom