Anatumia tendo la ndoa kama bakora ya kukutia adabu!

Kwani vidumu vimeisha?atashangaa jioni narudi na harufu ya manukato ambayo hatuna nyumbani,na lipshine mbili shavuni huku nimechoka kinoma,nikifika ni kupiga mluzi tu.
 
kama unaogopa kusex kwanin uolewe coz sio lazima kuolewa tafuta mtoto alafu ishi peke yako.

Eeh, sio naogopa, but isiwe kila mara kama chakula, ni kuchoshana, sio leo alfajiri, usiku na kesho tena alfajiri na usiku na kesho kutwa tena, halafu weekend alfajiri, mchana na usiku, kila siku, huko ni kuchoshana na kuzeeshana, sitataka kuishi mbali na yeye kama nampenda na ana tabia nzuri, cha msingi, ni yeye kunihurumia na kupunguza hiyo ratiba ya sex, kama kweli unampenda mke wako, unamsikiliza shida zake na kumjali, utapunguza ratiba ya sex ya aina hiyo, cause inamfanya pia akose hamu ya sex na hatokuwa anakuomba sex mwenyewe, kwasababu ameshakuchoka na unamchosha mno, hatataka hata urudi nyumbani mapema.
 
Pia siolewi kwa ajili ya sex peke yake but pia kwa sababu nampenda na nataka kuwa naye karibu zaidi na zaidi ili moyo wangu ufurahi na kuwa na amani.
 
Eeh, sio naogopa, but isiwe kila mara kama chakula, ni kuchoshana, sio leo alfajiri, usiku na kesho tena alfajiri na usiku na kesho kutwa tena, halafu weekend alfajiri, mchana na usiku, kila siku, huko ni kuchoshana na kuzeeshana, sitataka kuishi mbali na yeye kama nampenda na ana tabia nzuri, cha msingi, ni yeye kunihurumia na kupunguza hiyo ratiba ya sex, kama kweli unampenda mke wako, unamsikiliza shida zake na kumjali, utapunguza ratiba ya sex ya aina hiyo, cause inamfanya pia akose hamu ya sex na hatokuwa anakuomba sex mwenyewe, kwasababu ameshakuchoka na unamchosha mno, hatataka hata urudi nyumbani mapema.

Pia siolewi kwa ajili ya sex peke yake but pia kwa sababu nampenda, ananipenda, ana tabia nzuri na nataka kuwa naye karibu zaidi na zaidi ili moyo wangu ufurahi na kuwa na amani.
 
mimi naoa mwingine tu.....wanakuwa wawili...
huna haja ya kuoa mkuu, we vuta ndogo, unapata pale kwenye shida

ila ujue ukishaona mwenzako anatumia ndito kama silaha, then it is definite kwamba hajivalue kama mwanamke bali anaji-value kama commodity or hooker to say the least. na siajabu alishawahi kuwa nagawa tundu kwa mtindo wa cash and carry
 
ni sawa anavyofanya,sasa wewe ulitaka mmenuniana bado akuvulie chupi???huo ndio unafiki....
 
Hivyo ni kujiaibisha tu, we chukua simu jifanye kama unaongea na mtu, Hi Dear, jiandae, leo nakuja tutoke out, na uhakikishe hukai humo ndani utoke kweli, ikiwezekana hata ukalale gesti peke yako mpaka asubuhi, atakoma hiyo tabia na si ajabu kabla hata hujatoka, akakubalia, usipige punyeto mbele yake, atakudharau, na pia jamani, msipende kuwafanyisha sex kila siku wake zenu kama hawapendi, mpunguze kidogo ratiba ya sex ili msiwachoshe wake zenu ili wasikose raha wanapowaona.

Hivi hili tendo ni nani analihitaji zaidi ya mwingine!?
 
Kwani vidumu vimeisha?atashangaa jioni narudi na harufu ya manukato ambayo hatuna nyumbani,na lipshine mbili shavuni huku nimechoka kinoma,nikifika ni kupiga mluzi tu.

Na mie natoka nje ya ndoa nikirudi naimba zangu Taarabu................. tena nakupiga mipasho ile ya kisawasawa............... mwenyewe utakaa chini..........eh!
 
kha dah watu wengine shida tupu mie ukiniudhi ndo nakupa vizuri hamna mtu kununiwa zaidi ya nusu saa maisha yenyewe matamu hivi
 
Na mie natoka nje ya ndoa nikirudi naimba zangu Taarabu................. tena nakupiga mipasho ile ya kisawasawa............... mwenyewe utakaa chini..........eh!

Binti una visa weye..................
 
Hivi hili tendo ni nani analihitaji zaidi ya mwingine!?

Kila mtu analihitaji but kwa kiwango fulani, sio kila siku, ingawa wanaume kwao ni vigumu kukaa muda mrefu bila kusex kama wanawake, but ratiba iwe fair, si ya kuchoshana, kuna watu wanapenda sex kupita kiasi, wanaume kwa wanawake, ukikutana nao utajuta, wanafanya sex kama chakula, sex ni starehe bwana, sio adhabu, but mtu ambaye yuko addicted akikutana na mwenzake wa aina hiyo ni sawa, ila mtu anayependa sex kikawaida akikutana na yule ambaye yuko addicted na sex, ataona huo uhusiano ni wa mateso, just sex kiasi, wakati mwingine muutumie kufanya mambo mengine, kama kwenda beach, movie n.k.
 
of coz ni tabia mbaya ku-manipulate mtu kwa kutumia kitu chochote ili kutimiziwa matakwa yako. lakini its a mare fact, mwanamke akiwa na huzuni ama hasira, sana sana utam'baka tu! unless wanawake wa zamani wenye maadili ya kina faiza foxy,ila kwa maliberali,lol! niulize tu swali: unapokua unaendelea na kuona mwenzio hafurahii kabisa tendo,unaweza kufurahia mwenyewe?
huna haja ya kuoa mkuu, we vuta ndogo, unapata pale kwenye shida

ila ujue ukishaona mwenzako anatumia ndito kama silaha, then it is definite kwamba hajivalue kama mwanamke bali anaji-value kama commodity or hooker to say the least. na siajabu alishawahi kuwa nagawa tundu kwa mtindo wa cash and carry
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom