Anatumia tendo la ndoa kama bakora ya kukutia adabu!

Hebu chukulia umeoa mke ambaye ana kisirani hivi, kisirani hicho kinapevuka na kufikia mahali anakufanyia jambo ambalo mimi naweza kuliita ni uhuni. Anaanza tabia ya kutumia tendo la ndoa kama rushwa au kama adhabu.

Inapotokea anataka kitu ambacho huna uwezo wa kumtimizia au mmetofautiana au hajaridhishwa na jambo, badala ya kujadili kwa busara na kufikia muafaka, yeye hukukomoa kwa kukunyima tendo la ndoa tena kifedhuli.

Je kama ni wewe ungefanya nini?

...asikunyanyase bana, nawe kwanini unamuonyesha tendo hilo ndilo unalolisujudia saaaana?
jifanye hutamani kiviiiile...utamsikia mwenyewe anakuomba ugeukie kwake...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom