Anatokaje black list bank?

Anatokaje black list bank?

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,931
Reaction score
2,141
Salam.
Kuna rafiki yangu mmoja ni mfanyakazi wa umma.

Miaka 5 iliyopita alichukua mkopo bank x.

Baada ya serikali kuleta mfumo mpya wa ESS akakuta bank x haipo kwenye orodha ya Mankato kwenye mshahara wake.

Aka Kaa kama miez 6 hivi akaamua kukopa kwenye bank nyingine yaani bank y.

Siku ya siku bank x wakarudi kufanya Makato yao, ile kuingia ikashindikana.

Ikawalazimu bank x kumkata marejesho kupitia mshahara wa ( take home).

Sasa bank x ilimripoti CRB na wamekua wakiendelea kukata mkopo wao kwa miaka miwili sasa.

Changamoto.

Mshikaji anashida ya hela, bank y inauwezo wa kumkopesha lakini kizingiti kipo kwa bank x ambao wamem-blacklist.

Amejaribu kuwasiliana na bank x, wamegoma kumtoa black list..

Je, afanyaje Ili bank y impatie mkopo?

Je ni halali bank x kuendelea kumblacklist mtu anaye rejesha mkopo?

Kiufupi haelewi lipi ni lipi na shida imembana.

Bank x anamkopo nao utakaoisha miaka 3 ijayo.

Nawasilisha kwa niaba.
 
Hapo hamna ujanja,CRB hawawezi mtoa kwenye hiyo status mpaka x wakakiri upya kwamba hawakudai tena umeshawalipa pesa zao zote walizokuwa wanakudai.

Mshkaji wangu kanyimwa mkopo wa 8mln kisa elfu 7 ya timiza,ikabidi tu aende nmb maana hawashitaki huko CRB kwa watumishi wa umma. line husika hata haikumbuki tarakimu zake.
 
Niliwahi kukopa 1M bank X mwaka 2000 then nikaenda kunulia pikipiki Kampala miaka hiyo kama 700k, alafu chenchi iliyobaki nikaanza kupombeka njiani huku nasukuma chuma langu mdogo mdogo hadi nafika mwanza nilikata siku 8 njiani na mkopo ukakata mazeee....
Dahhh.....
Nimekumbuka mbali sana, lakini kuanzia nilipo maliza kulipa huo mkopo sikuwahi kuchukua mkopo tenaaaa hadi leo hii nimekua mzee
 
Ulifanya uamuzi mzuri.
 
Elimu ya fedha muhim sana.
 
Niliwahi kukopa 1M bank X mwaka 2000 then nikaenda kunulia pikipiki Kampala miaka hiyo kama 700k, alafu chenchi iliyobaki nikaanza kupombeka njiani huku nasukuma chuma langu mdogo mdogo hadi nafika mwanza nilikata siku 8 njiani na mkopo ukakata mazeee....
Dahhh.....
Nimekumbuka mbali sana, lakini kuanzia nilipo maliza kulipa huo mkopo sikuwahi kuchukua mkopo tenaaaa hadi leo hii nimekua mzee
Ha ha mzee wa vituko
 
Salam.
Kuna rafiki yangu mmoja ni mfanyakazi wa umma.

Miaka 5 iliyopita alichukua mkopo bank x.

Baada ya serikali kuleta mfumo mpya wa ESS akakuta bank x haipo kwenye orodha ya Mankato kwenye mshahara wake.

Aka Kaa kama miez 6 hivi akaamua kukopa kwenye bank nyingine yaani bank y.

Siku ya siku bank x wakarudi kufanya Makato yao, ile kuingia ikashindikana.

Ikawalazimu bank x kumkata marejesho kupitia mshahara wa ( take home).

Sasa bank x ilimripoti CRB na wamekua wakiendelea kukata mkopo wao kwa miaka miwili sasa.

Changamoto.

Mshikaji anashida ya hela, bank y inauwezo wa kumkopesha lakini kizingiti kipo kwa bank x ambao wamem-blacklist.

Amejaribu kuwasiliana na bank x, wamegoma kumtoa black list..

Je, afanyaje Ili bank y impatie mkopo?

Je ni halali bank x kuendelea kumblacklist mtu anaye rejesha mkopo?

Kiufupi haelewi lipi ni lipi na shida imembana.

Bank x anamkopo nao utakaoisha miaka 3 ijayo.

Nawasilisha kwa niaba.

Ni haki yake kuwa blacklisted, Kuna namna za kutatua changamoto zetu bila Mikopo, sometimes ni Bora ku assume hakuna Mikopo na ku face challenges, Mkopo waonekana kama suluhisho la haraka ila Lina shida sana
 
Tamaa imekuponza, usikute ulichukua huo mkopo kumsaidia mchepuko tu na sasa kakuacha baada ya kuishiwa (kulostika). Pole sana mkuu ila nahisi utakuwa ushajifunza kitu hapa.
 
Ni haki yake kuwa blacklisted, Kuna namna za kutatua changamoto zetu bila Mikopo, sometimes ni Bora ku assume hakuna Mikopo na ku face challenges, Mkopo waonekana kama suluhisho la haraka ila Lina shida sana
Hakika.
 
Hapo hamna ujanja,CRB hawawezi mtoa kwenye hiyo status mpaka x wakakiri upya kwamba hawakudai tena umeshawalipa pesa zao zote walizokuwa wanakudai.

Mshkaji wangu kanyimwa mkopo wa 8mln kisa elfu 7 ya timiza,ikabidi tu aende nmb maana hawashitaki huko CRB kwa watumishi wa umma. line husika hata haikumbuki tarakimu zake.
Hata akilipa CRB hamtoi mpaka ipite miaka sita.
 
Salam.
Kuna rafiki yangu mmoja ni mfanyakazi wa umma.

Miaka 5 iliyopita alichukua mkopo bank x.

Baada ya serikali kuleta mfumo mpya wa ESS akakuta bank x haipo kwenye orodha ya Mankato kwenye mshahara wake.

Aka Kaa kama miez 6 hivi akaamua kukopa kwenye bank nyingine yaani bank y.

Siku ya siku bank x wakarudi kufanya Makato yao, ile kuingia ikashindikana.

Ikawalazimu bank x kumkata marejesho kupitia mshahara wa ( take home).

Sasa bank x ilimripoti CRB na wamekua wakiendelea kukata mkopo wao kwa miaka miwili sasa.

Changamoto.

Mshikaji anashida ya hela, bank y inauwezo wa kumkopesha lakini kizingiti kipo kwa bank x ambao wamem-blacklist.

Amejaribu kuwasiliana na bank x, wamegoma kumtoa black list..

Je, afanyaje Ili bank y impatie mkopo?

Je ni halali bank x kuendelea kumblacklist mtu anaye rejesha mkopo?

Kiufupi haelewi lipi ni lipi na shida imembana.

Bank x anamkopo nao utakaoisha miaka 3 ijayo.

Nawasilisha kwa niaba.
Kwa hiyo huyo ndugu yako hana plan B zozote za kujikwamua zaidi ya kuchukua mikopo tu ndio ameona suluhisho la maisha yake?Hajui kwamba akichukua mkopo mwingine ndio atajikaanga zaidi
 
Back
Top Bottom