Anatishia kujiua kama sitarudiana naye

Anatishia kujiua kama sitarudiana naye

chineke_2016

Member
Joined
Jan 20, 2019
Posts
43
Reaction score
52
Habarini wakuu.
Nilikuwa nina mpenzi nipo nae mwaka wa pili sasa.. Alianza vitimbi kuwa hawezi kuwa na mimi tuachane na akanipiga kibuti...
Baada ya kama wiki hivi akarudi kasi anataka turudiane kama si hivyo atajiua..
Kwa mliowahi kupata hii kitu mnanipa ushauri gani?
 
Kiufupi hapo hana nia ya kujiua kwa ajili yako wala nini

Mi nilishakuwa na mtu wa hivyo,tulikosana akanipigia analia eti anajiua, mi sababu naelewa ni mtu wa drama nikamwambia haya pumzika kwa amani mume wangu nikakata simu

Rafiki zangu wakanijaza weeeee eti akijiua kweli nitaishi na hiyo guilty maisha yangu yote...si nikajazika nikakimbilia kwake!

Itaendelea.....
 
Hivi wanawake mbona mtatutoa roho yani mtu akuache then aje atake arudi na kutaka kurestisha ini pisi inasikitisha sana.. Mbna me niliachwaga vibaya mno ckataka kufanya haya mambo
 
Kiufupi hapo hana nia ya kujiua kwa ajili yako wala nini

Mi nilishakuwa na mtu wa hivyo,tulikosana akanipigia analia eti anajiua, mi sababu naelewa ni mtu wa drama nikamwambia haya pumzika kwa amani mume wangu nikakata simu

Rafiki zangu wakanijaza weeeee eti akijiua kweli nitaishi na hiyo guilty maisha yangu yote...si nikajazika nikakimbilia kwake!

Itaendelea.....
Wala usiendeleze kwa sababu tushamalizia wenyewe. Akaanza kukunyanyasa kuwa; Bila yeye maisha huna. Ungemwacha ajitundike kwanza halafu uende msibani umeweka Red Rosse kifuani na kulopoa kidume hapo hapo msibani.
Nijiue na kumbe leo nikiita interview watakuja 200!! Not this century ma friend
 
Kaonyeshe tu hiyo txt polisi mapema ili akijiua usiwe mwenye hatia halafu achana naye polisi washughulike naye wewe endelea na mambo yako
 
Nimeamua kubembeleza leo ajue npo nae ila few days later nabadili namba zangu zote atanipa matatizo huyu mwanamke.. Hela zenyewe sina sijui anataka roho yangu
Kaonyeshe tu hiyo txt polisi mapema ili akijiua usiwe mwenye hatia halafu achana naye polisi washughulike naye wewe endelea na mambo yako
 
Habarini wakuu.
Nilikuwa nina mpenzi nipo nae mwaka wa pili sasa.. Alianza vitimbi kuwa hawezi kuwa na mimi tuachane na akanipiga kibuti...
Baada ya kama wiki hivi akarudi kasi anataka turudiane kama si hivyo atajiua..
Kwa mliowahi kupata hii kitu mnanipa ushauri gani?
Mpenz wako under 18. Sitaki nataka nyingi
 
Wala usiendeleze kwa sababu tushamalizia wenyewe. Akaanza kukunyanyasa kuwa; Bila yeye maisha huna. Ungemwacha ajitundike kwanza halafu uende msibani umeweka Red Rosse kifuani na kulopoa kidume hapo hapo msibani.
Nijiue na kumbe leo nikiita interview watakuja 200!! Not this century ma friend
Mkuu kama unabet naomba uache kuanzia leo!

Ulivyomalizia ni kinyume kabisa na ilivyokuwa....yani una 'F'
 
Utakuwa mrembo sana...
Kiufupi hapo hana nia ya kujiua kwa ajili yako wala nini

Mi nilishakuwa na mtu wa hivyo,tulikosana akanipigia analia eti anajiua, mi sababu naelewa ni mtu wa drama nikamwambia haya pumzika kwa amani mume wangu nikakata simu

Rafiki zangu wakanijaza weeeee eti akijiua kweli nitaishi na hiyo guilty maisha yangu yote...si nikajazika nikakimbilia kwake!

Itaendelea.....
 
Huyo kishatafunwa na fisi ana majeraha anarudi kwa lengo la kukuumiza na wewe. Kimbia hapo kama swala anaefukuzwa na Duma.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom