Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,685
- 98,698
Inawezekana nilikuwa mrembo kwake...si unajua kila mtu na mtu wakeUtakuwa mrembo sana...

Malizia basii...Kiufupi hapo hana nia ya kujiua kwa ajili yako wala nini
Mi nilishakuwa na mtu wa hivyo,tulikosana akanipigia analia eti anajiua, mi sababu naelewa ni mtu wa drama nikamwambia haya pumzika kwa amani mume wangu nikakata simu
Rafiki zangu wakanijaza weeeee eti akijiua kweli nitaishi na hiyo guilty maisha yangu yote...si nikajazika nikakimbilia kwake!
Itaendelea.....
Inawezekana nilikuwa mrembo kwake...si unajua kila mtu na mtu wake
Hahahaa... pole sana, nadhani bado unajutia hiyo siku hadi leoKiufupi hapo hana nia ya kujiua kwa ajili yako wala nini
Mi nilishakuwa na mtu wa hivyo,tulikosana akanipigia analia eti anajiua, mi sababu naelewa ni mtu wa drama nikamwambia haya pumzika kwa amani mume wangu nikakata simu
Rafiki zangu wakanijaza weeeee eti akijiua kweli nitaishi na hiyo guilty maisha yangu yote...si nikajazika nikakimbilia kwake!
Itaendelea.....
Nipe namba zake, nikusaidie kulea huyo mtotoHabarini wakuu.
Nilikuwa nina mpenzi nipo nae mwaka wa pili sasa.. Alianza vitimbi kuwa hawezi kuwa na mimi tuachane na akanipiga kibuti...
Baada ya kama wiki hivi akarudi kasi anataka turudiane kama si hivyo atajiua..
Kwa mliowahi kupata hii kitu mnanipa ushauri gani?
Nmecheka eti hela sina anataka......[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeamua kubembeleza leo ajue npo nae ila few days later nabadili namba zangu zote atanipa matatizo huyu mwanamke.. Hela zenyewe sina sijui anataka roho yangu

Afu ukanidanganya eti wewe bado bikira. Mi kweli bwege sanaKiufupi hapo hana nia ya kujiua kwa ajili yako wala nini
Mi nilishakuwa na mtu wa hivyo,tulikosana akanipigia analia eti anajiua, mi sababu naelewa ni mtu wa drama nikamwambia haya pumzika kwa amani mume wangu nikakata simu
Rafiki zangu wakanijaza weeeee eti akijiua kweli nitaishi na hiyo guilty maisha yangu yote...si nikajazika nikakimbilia kwake!
Itaendelea.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie ajiuee mamaee..!!Nimeamua kubembeleza leo ajue npo nae ila few days later nabadili namba zangu zote atanipa matatizo huyu mwanamke.. Hela zenyewe sina sijui anataka roho yangu
Huko nshaachana nako. Nimehamia kwa CAG....Huyo akija ataleta habari za kubangua korosho
Habarini wakuu.
Nilikuwa nina mpenzi nipo nae mwaka wa pili sasa.. Alianza vitimbi kuwa hawezi kuwa na mimi tuachane na akanipiga kibuti...
Baada ya kama wiki hivi akarudi kasi anataka turudiane kama si hivyo atajiua..
Kwa mliowahi kupata hii kitu mnanipa ushauri gani?
Kaka kaa mbali na huyu mdada. Sipendi kukosana na weweUtakuwa mrembo sana...
She is just playing with your emotions sonHabarini wakuu.