Old story
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,264
- 2,155
Umemkumbusha lakini alicho kisema wakat mnataka kuachana au kasahauHabarini wakuu.
Nilikuwa nina mpenzi nipo nae mwaka wa pili sasa.. Alianza vitimbi kuwa hawezi kuwa na mimi tuachane na akanipiga kibuti...
Baada ya kama wiki hivi akarudi kasi anataka turudiane kama si hivyo atajiua..
Kwa mliowahi kupata hii kitu mnanipa ushauri gani?