Anatamani mtoto anaefanana na mimi

Anatamani mtoto anaefanana na mimi

Unataka dada mwenye duka la hizo zana?.....maana naona umeanza kwa kutoa wasifu wake.....
 
Habari za weekend wana JF.
Kuna mdada mmoja imetokea kuzoeana na tunaishi mitaa ya karibu ( sio mtaa mmoja)

Anauza duka la hardware pale kariakoo la babake (Japo yeye ameniambia baba yao amewagawia biashara watoto wote 4 ye ndio kapewa hiyo maana alikuwa anaisimamia tangu yupo shule)
.
Katika story tulikuwa tunapiga akaniuliza napenda nini kwenye maisha yangu?!!?
....nikamwambia navyopenda (vitu)
Sasa nikamuuliza nae "enhe na wewe unapenda nini?!"
Jibu: napenda nipate mtoto anaefanana na wewe (akacheka kwa aibu).
Nilipomwambia Mungu akujaalie akasema nawe pia akujaalie.

Najiuliza ili apate mtoto anaefanana na mimi si inabidi mimba yake inipende ambayo itakuwa ni out of her control.

Kumbuka sio wapenzi ( just mazoea na nahisi ana mchumba ambae ni mfanyabiashara mwenzake)
Sio lazima wewe Mkuu,anaweza kutiwa mimba hata na kaka yako na mtoto akafanana na wewe. Ahahahaaaa.
 
Back
Top Bottom