Anatamani mtoto anaefanana na mimi

Anatamani mtoto anaefanana na mimi

Wewe acha umandazi changamkia fursa hiyo mtu baki anawezaje mpa mtoto anayefanana na wewe ?
 
Akipewa mimba halafu ikanipenda hiyo mimba naskia mtoto anafanania mkuu.
Wewe acha umandazi changamkia fursa hiyo mtu baki anawezaje mpa mtoto anayefanana na wewe ?
 
We ndio yule kiranja anaewahi shule kuchongea wenzio, subiri utawaona wenzio na mifagio ya chelewa ndio uende[emoji2]
Tatizo mkuu huu uzi wako umevamiwa na vitoto vitoro havijui shule wanafungua lini mwengine mwanamama hapo juu ametupa watoto hajui shule zimefungwa au zimefunguliwa
 
Habari za weekend wana JF.
Kuna mdada mmoja imetokea kuzoeana na tunaishi mitaa ya karibu ( sio mtaa mmoja)

Anauza duka la hardware pale kariakoo la babake (Japo yeye ameniambia baba yao amewagawia biashara watoto wote 4 ye ndio kapewa hiyo maana alikuwa anaisimamia tangu yupo shule)
.
Katika story tulikuwa tunapiga akaniuliza napenda nini kwenye maisha yangu?!!?
....nikamwambia navyopenda (vitu)
Sasa nikamuuliza nae "enhe na wewe unapenda nini?!"
Jibu: napenda nipate mtoto anaefanana na wewe (akacheka kwa aibu).
Nilipomwambia Mungu akujaalie akasema nawe pia akujaalie.

Najiuliza ili apate mtoto anaefanana na mimi si inabidi mimba yake inipende ambayo itakuwa ni out of her control.

Kumbuka sio wapenzi ( just mazoea na nahisi ana mchumba ambae ni mfanyabiashara mwenzake)
financial services unaitwa huku na wanao
 
Akazae na baba yako kama upo???
 
Back
Top Bottom