Anataka nile kiapo mbele ya biblia kuwa sitamwacha

Anataka nile kiapo mbele ya biblia kuwa sitamwacha

Nadhani huko Mungu aliko ana hasira sana!!!
 
Kuchezea vitabu vya mungu kwa uzinzi ipo cku kitakugeuka mungu hachezewi kbs
 
Hehehe wengine mpaka damu tumechanjiana!!wee kama upo real na mkweli unaogopa nini?

Kiapo cha damu noma sana,kama ujatulia matokeo huonekana haraka sana kama mlivonuia,ila hii ya bible pia simshaur coz kashasema yeye Hunter hivo hatokiweza
 
Last edited by a moderator:
wana jamvi mwenzenu nimeshangazwa sana na yaliyo nikuta jana.

Kama kawaida hunter nime opoa mtoto kutoka mafichoni, alianza kwa kuniuliza nimuahidi kama sita muacha asilan, nami nikasema ndiyo. cha kushangaza akanambia siku akija geto anataka nishike biblia(kwa sababu mimi ni mkristo) eti ni ape mbele yake kuwa sita mwacha, nimefikiria sana issue hii kwa sababu naiheshimu sana biblia na naogopa kuisaliti.

Nimeshangazwa sana na mdada huyu.

apa tu mkuu , mbona wabunge , mawaziri na marais wanapeta tu?
 
Mwambie apunguze presha bidada, hata umlishe mtu yamini if not meant for you ,you will never be
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom