Acha tu.Nawaona wanavohaha.Yani wame za watu wanapoambiwa tuzae ntalea mwenyewe,wasiamini hiyo Ni janja tu ya kuwakamata na kuwavurugia ndoa.Mjumbe unafikilisha sana kwa comment yako hii. Alafu ije itokee mtoto ana matatizo hadi ukoo utajua.
Sent using Jamii Forums mobile app