Anataka mtoto na mimi

Anataka mtoto na mimi

Siyo kama anampenda mke wake kwa dhati
Kama unampenda mkeo kwa dhati please achana na huyo mwanamke.Ninakushauri hivyo kwasababu Sasa hivi yeye kashika makali na ww umeshika mpini.Akijifungua tu itageuka maana kwake utakuwa umejiwekea alama ya kudumu.Atajirasmisha yeye hata Kama ww hujafanya awe rasmi.Jiandae kupafahamu ustawi wa jamii na baadaye mahakama ya Kisutu akidai matunzo ili tu akuvuruge na familia yako.Leo hii atakwambia ntalea mwenyewe,akishazaa anaanza ooh watoto wako unawapeleka mlimani City kucheza wangu apelekwe na Nani? Yaani Visa vingi ikiwemo kupigiwa simu usiku eti mtoto analia sijui anachemka.Shemeji please Kama umevaa viatu via,kunja suruali kimbiaaa kwa speed ya kipunani...sijui wa Kenya.Achana na akili ya mwanamke...
Ni kwamba yule tayari ni mke wake na inaonekana jamaa anaishi maisha ya ndoa fresh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui nigairi kuolewa asee

Kuwa bachela wa kudumu kama miye. Inasaidia sana kuondokana na ishu zisizo za lazima hasa kipindi hichi. Ila inataka moyo na ni lazima uishi maisha ya heshima japo jamii itakusimanga na kukucheka eti tu kwa vile hujaolewa/hujaoa....
 
Nina mpenzi tumependana vya kutosha yeye ni single mother na mimi nina ndoa na watoto. Alinishauri niishi naye nikazugazuga alivyoona hivyo akaniomba kuwa anataka mtoto na mimi. Nifanyage japo na mimi nimempenda Kiana tatizo ndoa yangu
Ndoa inapokuwa tatizo. Wanadamu tujaribu kuwa na kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unampenda mkeo kwa dhati please achana na huyo mwanamke.Ninakushauri hivyo kwasababu Sasa hivi yeye kashika makali na ww umeshika mpini.Akijifungua tu itageuka maana kwake utakuwa umejiwekea alama ya kudumu.Atajirasmisha yeye hata Kama ww hujafanya awe rasmi.Jiandae kupafahamu ustawi wa jamii na baadaye mahakama ya Kisutu akidai matunzo ili tu akuvuruge na familia yako.Leo hii atakwambia ntalea mwenyewe,akishazaa anaanza ooh watoto wako unawapeleka mlimani City kucheza wangu apelekwe na Nani? Yaani Visa vingi ikiwemo kupigiwa simu usiku eti mtoto analia sijui anachemka.Shemeji please Kama umevaa viatu via,kunja suruali kimbiaaa kwa speed ya kipunani...sijui wa Kenya.Achana na akili ya mwanamke...
Mjumbe unafikilisha sana kwa comment yako hii. Alafu ije itokee mtoto ana matatizo hadi ukoo utajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kusikia kuwa kuna wanaume huitwa "Wanaume suruali" sasa nadhani huyu naye ni mmojawapo. Utathubutuje kujiingiza kwenye skendo kubwa hivi kisa kwa sababu una uume tu?? Hivi huyo mkeo wa ndoa angekuomba akampe kidogo tu jamaa yake aliyemtoaga ubikira na leo wamekutana hapo nje akamwagizia guest aliyofikia na ana safari kuomdoka nchini kesho for good hatakaa arudi tena. Ungemruhusu?? Huyu mmama anataka uzae naye mtoto wa kuishi naye hapa hapa siku zote umuone na weye unamsikiliza tu?? Nadhani una upungufu wa akili kichwani
 
Wewe ni wa ajabu sana, unasema tatizo ni ndoa yako!!!!, huyo mwanamke ndio tatizo kwenye ndoa yako.
 
Back
Top Bottom