Anataka kutest kizazi

Anataka kutest kizazi

Kuna tatizo katika fikra za kizazi cha leo.
soma nilichokiandika kwenye thread ndo utoe mawazo yako,otherwise kizazi cha juzi sio bora kuliko kingine kuwa kizazi cha lini its a matter of time tu
 
Mwambie apitie mitaa
Ya wavuta Bangi watamtestia
free
 
Huyu mgonjwa wangu kila baada ya sex---(Anaumwa after sex,nini tatizo.) Kaniharibia weekend ipasavyo anadai nimpe ujauzito ili atest kizazi kama kipo vizuri au kina hitilafu.Hii betting nimeshindwa kuifanya kwani sipo tayari kuitwa baba kwa sasa na yeye ameng'ang'ana anataka kutest mitambo.
Ushauri wenu wa busara wahitajika katika hili.
Mtego huo, kuwa makini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom