Anataka kutest kizazi

Anataka kutest kizazi

mchumi tumbo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
830
Reaction score
997
Huyu mgonjwa wangu kila baada ya sex---(Anaumwa after sex,nini tatizo.) Kaniharibia weekend ipasavyo anadai nimpe ujauzito ili atest kizazi kama kipo vizuri au kina hitilafu.Hii betting nimeshindwa kuifanya kwani sipo tayari kuitwa baba kwa sasa na yeye ameng'ang'ana anataka kutest mitambo.
Ushauri wenu wa busara wahitajika katika hili.
 
nimemjibu huyo jamaa anayeleta mada nyingine wakati mimi nataka ushauri wa kitu kingine
sasa huna busara umejibiwa na typo yako unakasirika je sisi wenye busara tukujibu vipi?..
Jibu ni moja OA! then tafuteni matibabu!!.
 
Tafuteni matibabu!
Mkuu embu soma nilichokiandika,ishu sio matibabu.Tatizo ni kwamba yeye anahitaji nimpe ujauzito apime kama kizazi chake kipo sawa au lah ili hali mimi sipo tayari kwa sasa
 
Wanaroll na ndinga za baba kushiba kwa mama..bill nass nasikiliza apa !!ntarudi badae kidogo
 
Mkuu embu soma nilichokiandika,ishu sio matibabu.Tatizo ni kwamba yeye anahitaji nimpe ujauzito apime kama kizazi chake kipo sawa au lah ili hali mimi sipo tayari kwa sasa
Wewe ni wa Dar au mikoani? Nijibu nikupe ushauri wa busara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom