Anataka kuoa, hana mahari wala kazi

Anataka kuoa, hana mahari wala kazi

Wanawake sasa hivi wote ni free anahangaika nini ?
Wazee Weekend Kareem.

Kuna kijana wa makamo, ana kama 40 years hivi, anataka kuoa, lakini hana mahari.

Alikuwa anafanya kazi kwenye magesi huko Mtwara, alipoingia bwana Mkubwa kampuni yao ikafungiwa kuendelea na kazi nchini TZ.

Jamaa hadi Leo hawajalipwa NSSF na hajapata kazi hadi Leo, kapigika kichizi.

Sasa tunamsaidiaje, kaja kuniomba mawazo nimemwambia Naomba masaa mawili Ntakuja na majibu
 
Mwanaume pesa huna hamu ya mwanamke unatoa wapi? Huko ni huto kujitambua
 
Aoneshe nia yake kwa huyo anayetaka kumuoa na kwa wazazi wa huyo mwanamke Kisha ajipange aanze maisha upya. Nina Imani akikomaa kupata shughuli nzuri inayomuingizia kipato ndani ya mwaka mmoja atakuwa katika nafasi nzuri ya kumuoa na kuishi naye vyema huyo anayetaka kumuoa.
 
Msaidie kujua kwanza maana na majukumu ya ndoa kiimani na kijamii. Kuoa au kuolewa ni jukumu, sio kuishi na yule unayedhani unampenda ndani ya nyumba au chumba. Walakuoa sio umri peke yake.... Kama hata pesa ya mahari hana ina maana hata maisha yake hawezi kuyamudu.
 
Wazee Weekend Kareem.

Kuna kijana wa makamo, ana kama 40 years hivi, anataka kuoa, lakini hana mahari.

Alikuwa anafanya kazi kwenye magesi huko Mtwara, alipoingia bwana Mkubwa kampuni yao ikafungiwa kuendelea na kazi nchini TZ.

Jamaa hadi Leo hawajalipwa NSSF na hajapata kazi hadi Leo, kapigika kichizi.

Sasa tunamsaidiaje, kaja kuniomba mawazo nimemwambia Naomba masaa mawili Ntakuja na majibu
Akitaka kujua tafsiri ya stress ni kuongeza mtu ndani huku wew ukiwa huwezi kujimudu.

Wapo watao shauri ukioa njia zina funguka, muda huo huo akikutana na mtu alie oa njia zikajifunga ata badilish mtazamo wake juu ya ndoa.

Kiuhalisia kwa maisha yalivyo, huna kazi, huna shamba la kusema utapat chochote, upi upo tu, then ukakimbilia kuoa kisa tu upate papuchi ndani, UTAKUWA UNA LALA NA KUSHINDA UMESHIKA TAMA, kama endapo nyie wote hamna ishu ya kufanya.

Hapo ukiwa na mwanamke mjinga na tamaaa ndio utapata na stress za mahusiano sasa.

Ukimshauri aoe, jiandae pia kumpa ushauri wa kimahusiano, ushauri wa changamoto za kiuchumi n. K

Avute subira tu, sio kila mara tutapata tutakacho
 
Well said
 
Back
Top Bottom