Anataka kuoa, hana mahari wala kazi

Anataka kuoa, hana mahari wala kazi

Wazee Weekend Kareem.

Kuna kijana wa makamo, ana kama 40 years hivi, anataka kuoa, lakini hana mahari.
Alikuwa anafanya kazi kwenye magesi huko Mtwara, alipoingia bwana Mkubwa kampuni yao ikafungiwa kuendelea na kazi nchini TZ.
Jamaa hadi Leo hawajalipwa NSSF na hajapata kazi hadi Leo, kapigika kichizi.
Sasa tunamsaidiaje, kaja kuniomba mawazo nimemwambia Naomba masaa mawili Ntakuja na majibu
Awe na subira gas irudi tena
 
Ujinga tu.
Kwa nini utake kuoa na hela huna?
Anataka kutuongezea dependants?
 
Hii naona sasa ni changamoto ya wanaume wengi masikini[emoji134][emoji134][emoji134]
Unakuta umri umesonga, hana kazi/kipato cha kueleweka, anatamani kuoa na kuanzisha familia......

Wenye mahari na kipato cha kueleweka nao hawaoni wa kuoa[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi ilimradi hali ni tafrani tu.
 
Ujinga tu.
Kwa nini utake kuoa na hela huna?
Anataka kutuongezea dependants?
Hapana usimwite mjinga mwenzako sio vizuri.kwa umri alionao mi namshauri aoe tu, ila angalizo atafute mwanamke mwenye shughuli, mcha Mungu anayejua maisha na mwenye roho ya ubinadamu ,ambaye wanaweza saidiana kujenga maisha.wanaume wengine baraka zao zipo kwa wanawake watakao waoa.
 
Back
Top Bottom