Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,614
Em niwacheee mimi🤣🤣🤣aende tuu kukopa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenza bwana, hivyo viatu size yako kabisaaaa.

Mmh! Mwenzangu huyo ni MariooWazee Weekend Kareem.
Kuna kijana wa makamo, ana kama 40 years hivi, anataka kuoa, lakini hana mahari.
Alikuwa anafanya kazi kwenye magesi huko Mtwara, alipoingia bwana Mkubwa kampuni yao ikafungiwa kuendelea na kazi nchini TZ.
Jamaa hadi Leo hawajalipwa NSSF na hajapata kazi hadi Leo, kapigika kichizi.
Sasa tunamsaidiaje, kaja kuniomba mawazo nimemwambia Naomba masaa mawili Ntakuja na majibu
ehhhh!!!Atafute single mother anayehudumiwa mtoto akae naye, watakula matumizi ya mtoto kutoka kwa mume mwenzie. Ila asiulize chochote kuhusu safari za mkewe na baba wa mtoto.
Mmmh sure?Aibu sana kulipiwa mahari na wazazi
🤣🤣🤣🤣🤣Em niwacheee mimi🤣🤣🤣aende tuu kukopa...
Mwanaume uliye kamili Kama huna kipato Cha kutunza familia usioe!!Hapana usimwite mjinga mwenzako sio vizuri.kwa umri alionao mi namshauri aoe tu, ila angalizo atafute mwanamke mwenye shughuli, mcha Mungu anayejua maisha na mwenye roho ya ubinadamu ,ambaye wanaweza saidiana kujenga maisha.wanaume wengine baraka zao zipo kwa wanawake watakao waoa.
Kijana wa kiume kuchangiwa mahari Ni aibu!!Mmmh sure?
Umeongea swala jema japo kwa ukakasiMwanaume uliye kamili Kama huna kipato Cha kutunza familia usioe!!
Endelea kupiga puli na Malaya mitaani.
Uanaume sio kutoa shahawa na kumpa mimba mwanamke tu.!!
Wazee Weekend Kareem.
Kuna kijana wa makamo, ana kama 40 years hivi, anataka kuoa, lakini hana mahari.
Alikuwa anafanya kazi kwenye magesi huko Mtwara, alipoingia bwana Mkubwa kampuni yao ikafungiwa kuendelea na kazi nchini TZ.
Jamaa hadi Leo hawajalipwa NSSF na hajapata kazi hadi Leo, kapigika kichizi.
Sasa tunamsaidiaje, kaja kuniomba mawazo nimemwambia Naomba masaa mawili Ntakuja na majibu
Haha ha.Umeongea swala jema japo kwa ukakasi
Hivi huna kazi huna pesa mgegedo unadindaje ?Wazee Weekend Kareem.
Kuna kijana wa makamo, ana kama 40 years hivi, anataka kuoa, lakini hana mahari.
Alikuwa anafanya kazi kwenye magesi huko Mtwara, alipoingia bwana Mkubwa kampuni yao ikafungiwa kuendelea na kazi nchini TZ.
Jamaa hadi Leo hawajalipwa NSSF na hajapata kazi hadi Leo, kapigika kichizi.
Sasa tunamsaidiaje, kaja kuniomba mawazo nimemwambia Naomba masaa mawili Ntakuja na majibu
Naona akili za kijana wako wa makamo ziko out of phase, tena zina lag behind by 20yrs.Wazee Weekend Kareem.