Anataka kunioa kisa wanawake zake wote wameolewa

Anataka kunioa kisa wanawake zake wote wameolewa

Mzinzi huyo unatafuta shida ndani ya roho
kama ulimfumania akanunua gari
anatembea na marafiki zako
Hiyo ndoa itakuwa na amani kweli?
 
jamani wazima humu.

Ngoja niwape kisa kingine mwenzenu.

Hii ilinitokeaga kipindi cha nyuma kidogo, nilikua na mpenzi wangu, kiukweli mwanzo sikumpenda hata kidogo coz alikuwa mtu mzima flani hivi, tulikua marafiki tu japo yeye alinipenda kweli, ila kadri muda ulivyozidi kwenda nikaanza kumpenda taratibu coz alikua mcheshi na mambo flani ninayoyapenda kwa mwanaume, hivyo nikaanza kuvutiwa nae.

Kiukweli kaka wa watu alikua mvumilivu coz nilikaa kwake miezi nane (8) kabla sijampenda, na yeye ndo alinilazimisha nikae kwake coz alipenda kuniona kila wakati,(lakini si kwamba nilihamia kabisa, nilikua naenda kulala siku moja mbili narudi hostel maana nilikuwa nasoma chuo kipindi hicho) muda huo wote hakuwahi kunigusa hata siku moja.

Nikasema si ndo nimepata mchumba sasa tukaanza mahusiano kumbe huyu ndo anavisa kuliko wanaume wangu wote, nilishamfumaniaga mara 4 akajitia kuninunulia gari kwa excuse, alishatembea mpaka na rafiki zangu na ndugu yangu mmoja akamtakaga, mara anataka tufanye mapenzi kinyume n maumbile.

Alikua mkweli sana, aliniambia kila kitu chake, alikuwa na watoto watatu amezaa na wanawake tofauti yaani kila mtoto na mama yake, sasa kipindi cha mwanzo akawa anasemaga hatokuja kuoa maishani mwake, marafiki zake wakawa wanamshauri anioe lakini wapi, na anaongea hivyo na mimi nipo hapo hapo hata aibu aoni.

Sasa ikapita mwaka msichana wa kwanza aliyezaa nae akaolewa, baada ya miezi tena akaolewa mwingine mara wa tatu nae akaolewa.

Sasa alivyoona hivyo akawa anang'ang'ania aje kwetu kutoa mahari anataka kunioa.

Sasa huyu alikuwa na nia au ndo analeta ushindani?

Kwa sababu mpaka leo ananisumbua sumbua na tumeachana muda kidogo
alipoanza vituko vyake vya ajabu.

Mawazo yenu jamani.

sasa hapo cha ajabu nini?we mwenyewe ulikuwa umeegesha kwake,kama sikosei ki maslahi mtindo hivi
 
sasa hapo unataka kushauriwa nini coz mwanzoni ulimuacha kwa sababu ya vituko vyake sasa ivi kinachotaka kukurudisha ni nini?khaaaa kweli kaz ipo
out of topic gari ulinunuliwa?
 
Sijaelewa....ulikuwa unaenda kula kwake siku mbili hamfanyi chochote....af akawa anaomba tigo...alikuwa anaomba tigo kabla hata hajaonja airtel? Mmmh habari ya kweli hii??

tehe tehe tehe tehe tehe tehe mitandao inachanganya kidogo hapo,nahisi alianza kutoa voda kabla hajaombwa tigo
 
Ngoja nikuambie mwanamke mwenzangu, bora tuu uolewe nae, sababu utaruka Hajakubwa utakanyaga ndogo, wanaume wa sasa hata hawaeleweki wengi ni Mabaradhuli. Huyo kakuomba tigo, utajapata anayekulazimisha tigo tena bila hata kukununulia gari. We ingia ktk ndoa ila kuwa makini kujituma kimaisha na kuzaa usizaezae hovyo, mmoja anatosha, akikuacha utamtunza

Jamani wazima humu.

Ngoja niwape kisa kingine mwenzenu.

Hii ilinitokeaga kipindi cha nyuma kidogo, nilikua na mpenzi wangu, kiukweli mwanzo sikumpenda hata kidogo coz alikuwa mtu mzima flani hivi, tulikua marafiki tu japo yeye alinipenda kweli, ila kadri muda ulivyozidi kwenda nikaanza kumpenda taratibu coz alikua mcheshi na mambo flani ninayoyapenda kwa mwanaume, hivyo nikaanza kuvutiwa nae.

Kiukweli kaka wa watu alikua mvumilivu coz nilikaa kwake miezi nane (8) kabla sijampenda, na yeye ndo alinilazimisha nikae kwake coz alipenda kuniona kila wakati,(lakini si kwamba nilihamia kabisa, nilikua naenda kulala siku moja mbili narudi hostel maana nilikuwa nasoma chuo kipindi hicho) muda huo wote hakuwahi kunigusa hata siku moja.

Nikasema si ndo nimepata mchumba sasa tukaanza mahusiano kumbe huyu ndo anavisa kuliko wanaume wangu wote, nilishamfumaniaga mara 4 akajitia kuninunulia gari kwa excuse, alishatembea mpaka na rafiki zangu na ndugu yangu mmoja akamtakaga, mara anataka tufanye mapenzi kinyume n maumbile.

Alikua mkweli sana, aliniambia kila kitu chake, alikuwa na watoto watatu amezaa na wanawake tofauti yaani kila mtoto na mama yake, sasa kipindi cha mwanzo akawa anasemaga hatokuja kuoa maishani mwake, marafiki zake wakawa wanamshauri anioe lakini wapi, na anaongea hivyo na mimi nipo hapo hapo hata aibu aoni.

Sasa ikapita mwaka msichana wa kwanza aliyezaa nae akaolewa, baada ya miezi tena akaolewa mwingine mara wa tatu nae akaolewa.

Sasa alivyoona hivyo akawa anang'ang'ania aje kwetu kutoa mahari anataka kunioa.

Sasa huyu alikuwa na nia au ndo analeta ushindani?

Kwa sababu mpaka leo ananisumbua sumbua na tumeachana muda kidogo
alipoanza vituko vyake vya ajabu.

Mawazo yenu jamani.
 
Jamani wazima humu.

Ngoja niwape kisa kingine mwenzenu.

Hii ilinitokeaga kipindi cha nyuma kidogo, nilikua na mpenzi wangu, kiukweli mwanzo sikumpenda hata kidogo coz alikuwa mtu mzima flani hivi, tulikua marafiki tu japo yeye alinipenda kweli, ila kadri muda ulivyozidi kwenda nikaanza kumpenda taratibu coz alikua mcheshi na mambo flani ninayoyapenda kwa mwanaume, hivyo nikaanza kuvutiwa nae.

Kiukweli kaka wa watu alikua mvumilivu coz nilikaa kwake miezi nane (8) kabla sijampenda, na yeye ndo 1.alinilazimisha nikae kwake coz alipenda kuniona kila wakati,(lakini si kwamba nilihamia kabisa, nilikua naenda kulala siku moja mbili narudi hostel maana nilikuwa nasoma chuo kipindi hicho) muda huo wote hakuwahi kunigusa hata siku moja.

Nikasema si ndo nimepata mchumba sasa tukaanza mahusiano kumbe huyu ndo anavisa kuliko wanaume wangu wote, nilishamfumaniaga mara 4 akajitia kuninunulia gari kwa excuse, alishatembea mpaka na rafiki zangu na ndugu yangu mmoja akamtakaga, 2.mara anataka tufanye mapenzi kinyume n maumbile.

Alikua mkweli sana, aliniambia kila kitu chake, alikuwa na watoto watatu amezaa na wanawake tofauti yaani kila mtoto na mama yake, sasa kipindi cha mwanzo akawa anasemaga hatokuja kuoa maishani mwake, 3.marafiki zake wakawa wanamshauri anioe lakini wapi, na anaongea hivyo na mimi nipo hapo hapo hata aibu aoni.

Sasa ikapita mwaka msichana wa kwanza aliyezaa nae akaolewa, baada ya miezi tena akaolewa mwingine mara wa tatu nae akaolewa.

Sasa alivyoona hivyo akawa anang'ang'ania aje kwetu kutoa mahari anataka kunioa.

Sasa huyu alikuwa na nia au ndo analeta ushindani?

Kwa sababu mpaka leo ananisumbua sumbua na tumeachana muda kidogo
alipoanza vituko vyake vya ajabu.

Mawazo yenu jamani.

angalia nilizobold hapo juu:
1.ni ukweli amekaa na wewe miezi 8 na huwa unalala naye siku mbili tatu asikuguse humo ndani mnaulizana maswali ya mtihani au!!!
2.je alifanikiwa au la! kuwa mkweli kwa hili....
3.ulivyosikia habari hiyo wanavyomshauri ulifurahia au ulikuwa na dought zako!!
ukijibu hayo nitatoa bonge la idea huwez amini....!!!!
 
Wanaume wa sasa kiiila mmoja nahisi ni maamuzi tuu ya kufumania hayajafanyika. Ila kila mmoja anachapa chapa pembeni wakiamuliwa wanafumaniwa woote. Mwache tuu aende coz anaweza kuja pata mwenye pressure zaidi na asiyethamini hata kuomba samahani.

Mzinzi huyo unatafuta shida ndani ya roho
kama ulimfumania akanunua gari
anatembea na marafiki zako
Hiyo ndoa itakuwa na amani kweli?
 
[/QUOTE]

alikua mcheshi na mambo flani ninayoyapenda kwa mwanaume, hivyo nikaanza kuvutiwa nae. Hebu kuwa muwazi kidogo hapa, ni kitu gani hicho?
 
Sijaelewa....ulikuwa unaenda kula kwake siku mbili hamfanyi chochote....af akawa anaomba tigo...alikuwa anaomba tigo kabla hata hajaonja airtel? Mmmh habari ya kweli hii??
Hahaha...itafikia kipindi hii mitandao mingine itakosa wateja. Naona saivi watu ni kununua line za tigo tu...jamani Jamani...!
 
kuomba tigo ni baada ya kuanza uhusiano na kugegedana vya kutosha na mda ulikua umepita, hvyo nmeorodhesha baadhi ya majanga yake... sasa nahic akataka kunibikir na tigo yang.....

belie;
Samahan kidogo, wengine siye ni wazito kuelewa. Hapa unaomba ushauri wa kuolewa au unaomba ushauri wa kutoa tigo ili umfurahishe tu jamaa??
Huoni wenzio wote wamekimbia kwa sababu jamaa anashughulikia zaidi mlango huo kuliko Airtel?? Sasa sisi tukikuambia mpelekee hiyo tigo huoni sirikali hii kali hivi itatu piga ban humu jf?
Ushauri, kama keshaomba tigo kabla ya ndoa, fahamu kuwa mara baada ya ndoa tu, kuanzia hiyo siku ya harusi, ni tigo tuuu mpango mzima.
Amua mwenyewe hapo, ila hukutuambia ulimpa kwanza ndo ukapata gari au vipi. Ka ni nini, muulize alivyo nogewa ili ujue, ni lini utaomba na ka self contain kwani hiyo gari utalaza garage ya ccm??
 
Back
Top Bottom