Anataka kunioa kisa wanawake zake wote wameolewa

Anataka kunioa kisa wanawake zake wote wameolewa

belie

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
387
Reaction score
261
Jamani wazima humu.

Ngoja niwape kisa kingine mwenzenu.

Hii ilinitokeaga kipindi cha nyuma kidogo, nilikua na mpenzi wangu, kiukweli mwanzo sikumpenda hata kidogo coz alikuwa mtu mzima flani hivi, tulikua marafiki tu japo yeye alinipenda kweli, ila kadri muda ulivyozidi kwenda nikaanza kumpenda taratibu coz alikua mcheshi na mambo flani ninayoyapenda kwa mwanaume, hivyo nikaanza kuvutiwa nae.

Kiukweli kaka wa watu alikua mvumilivu coz nilikaa kwake miezi nane (8) kabla sijampenda, na yeye ndo alinilazimisha nikae kwake coz alipenda kuniona kila wakati,(lakini si kwamba nilihamia kabisa, nilikua naenda kulala siku moja mbili narudi hostel maana nilikuwa nasoma chuo kipindi hicho) muda huo wote hakuwahi kunigusa hata siku moja.

Nikasema si ndo nimepata mchumba sasa tukaanza mahusiano kumbe huyu ndo anavisa kuliko wanaume wangu wote, nilishamfumaniaga mara 4 akajitia kuninunulia gari kwa excuse, alishatembea mpaka na rafiki zangu na ndugu yangu mmoja akamtakaga, mara anataka tufanye mapenzi kinyume n maumbile.

Alikua mkweli sana, aliniambia kila kitu chake, alikuwa na watoto watatu amezaa na wanawake tofauti yaani kila mtoto na mama yake, sasa kipindi cha mwanzo akawa anasemaga hatokuja kuoa maishani mwake, marafiki zake wakawa wanamshauri anioe lakini wapi, na anaongea hivyo na mimi nipo hapo hapo hata aibu aoni.


Sasa ikapita mwaka msichana wa kwanza aliyezaa nae akaolewa, baada ya miezi tena akaolewa mwingine mara wa tatu nae akaolewa.

Sasa alivyoona hivyo akawa anang'ang'ania aje kwetu kutoa mahari anataka kunioa.

Sasa huyu alikuwa na nia au ndo analeta ushindani?

Kwa sababu mpaka leo ananisumbua sumbua na tumeachana muda kidogo
alipoanza vituko vyake vya ajabu.

Mawazo yenu jamani.
 
Ww hukukpenda sema ulifuata mpunga wake tu
 
shosti ngoja niwe mmbea vipi gari alinunua????????? sasa maamuzi unayo ndani ya nafs yako wewe
 
usikubali kuolewa dada endelea kula ujana kwanza.
 
Sijaelewa....ulikuwa unaenda kula kwake siku mbili hamfanyi chochote....af akawa anaomba tigo...alikuwa anaomba tigo kabla hata hajaonja airtel? Mmmh habari ya kweli hii??
kuomba tigo ni baada ya kuanza uhusiano na kugegedana vya kutosha na mda ulikua umepita, hvyo nmeorodhesha baadhi ya majanga yake... sasa nahic akataka kunibikir na tigo yang.....
 
kuomba tigo ni baada ya kuanza uhusiano na kugegedana vya kutosha na mda ulikua umepita, hvyo nmeorodhesha baadhi ya majanga yake... sasa nahic akataka kunibikir na tigo yang.....

gari yake ulirudisha?? na hio bikra bado ipo?
 
Sasa kusoma hujui hadi picha huoni?? Mapenzi huwa hayashauriki kirahisi tunaweza kukushauri uachane naye au uendelee naye lakini naamini uamuzi unao moyo wako wewe. Go on and do as your heart says mengine sio mapya sana kwenye maisha ya siku hizi
 
Olewa kama unataka ila kama hutaki acha anfolen nyuma inasubiria jamaa akohoe tu wamalize kaz
 
Back
Top Bottom