Anataka kunioa kisa wanawake zake wote wameolewa

Anataka kunioa kisa wanawake zake wote wameolewa

Ngoja nikuambie mwanamke mwenzangu, bora tuu uolewe nae, sababu utaruka Hajakubwa utakanyaga ndogo, wanaume wa sasa hata hawaeleweki wengi ni Mabaradhuli. Huyo kakuomba tigo, utajapata anayekulazimisha tigo tena bila hata kukununulia gari. We ingia ktk ndoa ila kuwa makini kujituma kimaisha na kuzaa usizaezae hovyo, mmoja anatosha, akikuacha utamtunza

Kwa hiyo tigo igegedwe,, au na wewe huna bikra ya 0712...?
 
tangia lini mtu akafurahia kuwa last pick?yaani ww ni chaguo la mwisho kwake na huyo atakuua kwa blood pressure!sijui watu wengine mnapata wapi ujasiri wa kumsamehe mtu mara nne,kisa kakununulia gari unababaika na materialistic things girl,ngoja uzalishwe na uletewe na magonjwa ya zinaa!
 
Jamani wazima humu.

Ngoja niwape kisa kingine mwenzenu.

Hii ilinitokeaga kipindi cha nyuma kidogo, nilikua na mpenzi wangu, kiukweli mwanzo sikumpenda hata kidogo coz alikuwa mtu mzima flani hivi, tulikua marafiki tu japo yeye alinipenda kweli, ila kadri muda ulivyozidi kwenda nikaanza kumpenda taratibu coz alikua mcheshi na mambo flani ninayoyapenda kwa mwanaume, hivyo nikaanza kuvutiwa nae.

Kiukweli kaka wa watu alikua mvumilivu coz nilikaa kwake miezi nane (8) kabla sijampenda, na yeye ndo alinilazimisha nikae kwake coz alipenda kuniona kila wakati,(lakini si kwamba nilihamia kabisa, nilikua naenda kulala siku moja mbili narudi hostel maana nilikuwa nasoma chuo kipindi hicho) muda huo wote hakuwahi kunigusa hata siku moja.

Nikasema si ndo nimepata mchumba sasa tukaanza mahusiano kumbe huyu ndo anavisa kuliko wanaume wangu wote, nilishamfumaniaga mara 4 akajitia kuninunulia gari kwa excuse, alishatembea mpaka na rafiki zangu na ndugu yangu mmoja akamtakaga, mara anataka tufanye mapenzi kinyume n maumbile.

Alikua mkweli sana, aliniambia kila kitu chake, alikuwa na watoto watatu amezaa na wanawake tofauti yaani kila mtoto na mama yake, sasa kipindi cha mwanzo akawa anasemaga hatokuja kuoa maishani mwake, marafiki zake wakawa wanamshauri anioe lakini wapi, na anaongea hivyo na mimi nipo hapo hapo hata aibu aoni.


Sasa ikapita mwaka msichana wa kwanza aliyezaa nae akaolewa, baada ya miezi tena akaolewa mwingine mara wa tatu nae akaolewa.

Sasa alivyoona hivyo akawa anang'ang'ania aje kwetu kutoa mahari anataka kunioa.

Sasa huyu alikuwa na nia au ndo analeta ushindani?

Kwa sababu mpaka leo ananisumbua sumbua na tumeachana muda kidogo
alipoanza vituko vyake vya ajabu.

Mawazo yenu jamani.

Nyote wazinifu tu,munamhitaji Yesu yule mtuliza dhoruba awaponye hakuna ziada ya hapo.
 
Mmmhhh
Unaombwa tigo bado hajakuoa?
Manaake akishakuoa ndo itakua halali!

Ushapeleleza walioond oka ni sbb gani ziliwafanya waonfoke?

Ana hyo spirit ya zinaa/uzinzi/tigo na hizp roho zikishamvaa mtu kutoka ni maombi tena ya nguvu.

It seems uliamua kua nae sbb ya pesa ndo maana baada ya kumfumania uliamua kuendelea nae
 
Back
Top Bottom