Anataka kumuacha kisa ufupi

Licha ya upendo wa dhati wamejaliwa kimaumbile kunakoo kulee... Mtu uchague kipi important kwako,kufurahishwa ndani ama kuonekana couple nzuri nje...hupati complete package
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti ndan hupati full package
 
yani iko hiv.....mwanaume mfupi akimiliki demu,mchumba au mwanamke mrefu anaonekana anajiamini(confidence)
 
Hahaaaa! Unaanza kumwambia tangulia nitakuja kumbe hautaki watu wakuone na andunje!
Ila inakuwaje watu mnakubaliana hadi mnaanzisha mahusiano then baadae unaanza kujiuliza, inamaana alikuwa mrefu then akawa mfupi ghafla!!
Au ndio ile unasikiliza mashosti ndio wanakuamulia!!
 
I agree with you.... when karma strike back ... ndio wanaanza kulaumu wanaume hiv wanaume vile...
 
Huu ni unyanyasaji wa kimaumbile.
It ain't . Inatokea majority ya watu wa group fulani kunafanana tabia fulani, (kwa mfano wasukuma na ushamba); So sijawanyanyasa. Hata warefu tuna tabia zetu mbaya za kufananana pia
 
Sijalielewa hilo honestly, maana kama mtu hapendi mfupi kweli, akitokea tu mfupi ni anakataliwa instantly. Labda kuna vitu havipo ok akaona atumie excuse ya kuwa he is short ili amuache. (They fell in love even before they met, umenielewa eeeh teh)
 
Ndo maana nliamuaga kutotilia kabusa mkazo mapenzi,maana unaweza jiweka kwa mijitu yenye akili za ajabuajabu mwisho wasiku ukapata mtafaruku wa moyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…