Anataka kumuacha kisa ufupi

Nimechekaa eti "ukitembea na baba ako mzazi mfupi haufeel protected"
 
Kwani wewe huna kigezo chako ?acheni habari zenu mkichagua nyie ni sawa ila tukichagua sie inakuwa tatizo. Huwezi kuwa na mtu mmesimama anakufikia kiunoni.
 
Wanaume wafupi mara nyingi huwa wana mapenzi ya dhati, bi dada aangalie moyo wake na vipaumbele vyake tu ila baadae asijesema "ningejua".
Licha ya upendo wa dhati wamejaliwa kimaumbile kunakoo kulee... Mtu uchague kipi important kwako,kufurahishwa ndani ama kuonekana couple nzuri nje...hupati complete package
 
Licha ya upendo wa dhati wamejaliwa kimaumbile kunakoo kulee... Mtu uchague kipi important kwako,kufurahishwa ndani ama kuonekana couple nzuri nje...hupati complete package
Usiombe upate mwanaume mfupi mwenye tabia za "kifupi"
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…