Anataka kumuacha kisa ufupi

Walimeet mitandaoni nin!? Inakuaje muda wote walikuwa poah tu hadi jamaa kuja Dsm ndio kujua mapungufu yke?! Km hamtaki basi amuache asimpotezee muda wakt kuna watu wengine huko wanamhangaikia wampate kifup wa watu
Mapenzi ya Facebook hayo mtu alikua anatuma pic passport siz
 
Kama nimemuelewa amesema walifahamiana then ndio akahamishwa kikazi, ila siku ya kwanza wanafahamiana hakumuangalia vizuri, sasa sijui ilikuwa gizani!!
 
Mbona ulinikataa na ufupi wangu[emoji12]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nilikukana sababu ya ubahiri sio ufupi, si ulisema hutoi pesa labda uwe umezimia then nikusachi mifukoni.
 
Kama nimemuelewa amesema walifahamiana then ndio akahamishwa kikazi, ila siku ya kwanza wanafahamiana hakumuangalia vizuri, sasa sijui ilikuwa gizani!!
thank u espy
 
Kiukweli kabisa mwanamke akiacha ujinga atafika mbali kimaendeleo na fikra,mwambie aendelee kuchagua wenzie wanatafuta hata mfupi ka chupa ya azam energy hawapati kabisa.
[emoji23]
 
Kama nimemuelewa amesema walifahamiana then ndio akahamishwa kikazi, ila siku ya kwanza wanafahamiana hakumuangalia vizuri, sasa sijui ilikuwa gizani!!
Hahahahah no walifahamiana bado wadogo
 
Nahus yup kweny ule umri wa miak 19-25 mdada huw na katabia kakuchagua bcz anajua bd analipa...mwache achague subir miak30 imkute hana aliyemwaminisha ndo ile slogan ya" ufupi is bothing when it comes to love utakapomuingia"na kutamani muda urudi nyuma!!! Kale kamsemo ka majuto ni mjukuu katakapokuwa na maana...ila kingine nachokiona ni kuwa anaamini atapata mtu mrefu kumzd yy mweny hyo caring kama y jamaa mfupi....
 
Aaah, kama ni ubahili ni sawa kabisa. Nikadhani ufupi, ubahili siachi!!!
Hebu acha ubishi basi jamani, acha hata kidogo.
Atakuwa analingana na rula ya sm30 huyo[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…