Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
hivi wakati wana do bila Condoms hawakujua faida na hasara zake ?
Mwenye uamuzi wa mwisho hapo ni mwanamke kwa sababu hiyo mimba ipo mwilini mwake.
Sababu za huyo mdada kutaka kukiua hicho kiumbe hai ni nini?
Ah wanawake wengine bwana yani miguu ulichanua mwenyewe ili uisikilizie utamu wake,majibu ya utamu umeyapata unataka kwenda kutoa mimba,wengine watoto wanawatafuta kwa pesa hawawapati yeye anaenda kuwaua,mwambia huyu rafiki yako ajaribu kumrai kama alivyo mlaghai kumvua chupi basi amrai asitoe mimba.....
anasema eti hana mpango wa kuzaa kwa sababu hajafikia malengo yake.
inaonekana mshikaji hana mtoto nini..
Dah! Watu mna hatari.
kwanini lol
kutembea tembea mpaka kupeana vitambi na mabaamedi.
Kwani bartenders wana ubaya gani?
umeanza uchokozi wako.
Hapo mbona bado kabisa. Mzima lakini wee dada?
Halafu hilo jina lako, hasa kile kipande cha "nyo" kikwetu ni nanihino....unajua hilo?
nitakupiga makonzi wewe... Muone vile. We mzima?
Jamani poleni leo nimekutana na mshikaji wangu akanieleza yanayomsibu jamaa ali-do mwezi wa 8 na barmeid. jana yule barmeid ameenda kupima akakuta ana ujauzito cha kusikitisha barmeid anataka akatoe ila mshikaji hataki . Jamani mnamshauri afanye nini waungana kwani jamaa anataka kuoa