Miaka Saba???? Duh you are joking kijana? Nadhani wewe ndio una matatizo tena makubwa. Huyo Binti ni mvumilivu sana tena nampa big up kubwa sana. na ana haki kabisa ya kutaka kutambulishwa. Mimi nadhani mahusiano yenu may be hayana msimamo na mmependana tu na kuingizana chumbani basi huwa hamjadili nini malengo yenu ya baadae maana eeehhh 7yrs mmmhh hapana thats too much. Amua moja kama unamuoa au humuoi umpe muda mtoto wa watu usikae kumchezea kila siku halafu ukambwaga. Hebu kuwa na huruma kijana ungekuwa wewe unafanyiwa hivyo ungejisikiaje?? Kama huna mpango wa kumuoa sema kabisa mapema ajue nini cha kufanya.
Ahsanteni wote kwa ushauri ila wengi mnaojibu mnafikiri mimi ni mwanaume.
Mimi ni mwanamke, hebu wadau ifikirieni tena kwa upande wa pili.
dena mimi ni msichana, boyfriend ndio anataka nikamtambulishe.
Ahsanteni wote kwa ushauri ila wengi mnaojibu mnafikiri mimi ni mwanaume.
Mimi ni mwanamke, hebu wadau ifikirieni tena kwa upande wa pili.
dena mimi ni msichana, boyfriend ndio anataka nikamtambulishe.