Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,737
Ni vizuri zaidi kumpima. jirani yangu hapa house g alilazwa tumbi ile kufuatilia kwa dr. akakuta ni mwasirika na alikuwa analea vitoto 2 naona ameamua kumrudisha alikomtoa. Tatizo nyie mother house why anauliza uliza tena kwa watu ushauri haujui wamama wa nyumbani ndo mashost wa wajakazi wenu? Ni kwenda hosp unakuwa umeshaunganisha na dr. na hakuna haja ya yeye kujua anachoenda kupimwa.