Anataka akampime Housegirl HIV! Mshaurini...

huyo dada alipoanza kazi hapo moja ya requirement ilikuwa kupima? Hakupeçeka uthibitisho wowote ofsn wa afya yake?

Mzazi anakuwa na sense ya ziada...asikilize hisia zake
 
Kupima ni lazima... Kulingana na unyeti wa ishu yenyewe sitamtonya dada as anaweza kukataa but nitafanya hivyo kwa usalama wa wanangu.

Prevention is better than cure.. Hawa wadada wanatufanyia mengi nyumbani hivyo ni bora kuwa na uhakika na afya zao..

Incase yuko positive.. Nitajipanga kwa kipind hata cha 1 wiki .. Natengeneza hata story ya kuwa familia imepata dharura ya kusafiri hivyo arudi kwao tukirudi tutamjuza.. ndo imetoka hyo unamuaga vizuriiiii.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni vizuri hayo masharti mkayasema kabla mfanyakazi hajaja nyumbani kwenu.. Vinginevyo ni maonevu kwa vile mko juu na hawa wako chini.. Kupima sio lazima na ugonjwa wowote unabaki kuwa siri kati mgonjwa na dakatari.. Unless mgonjwa aridhie.. Bahati nzuri ugonjwa huu haubagui hauchagui..
 
Sasa ukimkuta positive unafanye Nivea?
unamwambia unajua nimesubuka sana kutafuta wasichana na nimepata wawili kwa mkupuo ila nilipendelea sana umri huu ......ambao yeye hana kwisha unamrudisha kwao aisee kuishi na bomu ulisikiaga yule msichana alipiga miswaki ya watoto akawaambukiza ukimwi woote stuka Tuko
 
Last edited by a moderator:
Ni vizuri hayo masharti mkayasema kabla mfanyakazi hajaja nyumbani kwenu.. Vinginevyo ni maonevu kwa vile mko juu na hawa wako chini.. Kupima sio lazima na ugonjwa wowote unabaki kuwa siri kati mgonjwa na dakatari.. Unless mgonjwa aridhie.. Bahati nzuri ugonjwa huu haubagui hauchagui..

Unayoyasema ni kweli sosoliso.. But tunafanya hivyo kwa nia nzuri tu kuwalinda watoto wetu. Ingawa hatuwatendei haki endapo tunawapima bila ridhaa yao. BTW hata familia ni vyema na yenyewe ikiweka wazi status ya afya zao kwa mtumishi huyu wa ndani ili kumlinda na yeye (though kiukweli binadamu tulivyo mmm ... sidhani kama watu wanafanya hivyo).
 
Last edited by a moderator:
Kupima ni lazima... Kulingana na unyeti wa ishu yenyewe sitamtonya dada as anaweza kukataa but nitafanya hivyo kwa usalama wa wanangu.

Prevention is better than cure.. Hawa wadada wanatufanyia mengi nyumbani hivyo ni bora kuwa na uhakika na afya zao..

Incase yuko positive.. Nitajipanga kwa kipind hata cha 1 wiki .. Natengeneza hata story ya kuwa familia imepata dharura ya kusafiri hivyo arudi kwao tukirudi tutamjuza.. ndo imetoka hyo unamuaga vizuriiiii.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Shukrani kwa ushauri. This idea is very equivocal...
 
Yap... but anashindwa kujua atahandle vipi endapo akikuta yuko positive...

ubinadamu ni muhimu sana,, ila mlezi wa watoto lazima awe na afya njema....suala la kumpima ndugu yangu halina mjadala,, akiwa positive....aanze mwenyewe kumfanyia kanseling bila manyanyaso,,,hata akiwa ngtv,,, kila baada ya mda check up muhimu...
 
Hata baba/mama yako huwezi ukamlazimisha kupima shame upon you
Ndugu mimi huwa sina desturi ya kujadiliana vilaza. Wewe bishana na ma-house girl ndo size yako..! Mie nipo level nyingine kabisa. You gotta no brain to challenge me..! You are just a little fool with twisted mind..!
 
Binafsi huwa HG anafanya full medical ie FBP, TB, Deworming na HIV na Pregnancy (niliwahi kupata aliyekuja na mimba). Kwa bahati nzuri sijawahi kukuta +ve ingawa unaweza kukukuta ana worms, low hb au kifua (siyo TB). Unamtibia na mambo yanakwenda vizuri.
Prevention is better than cure.
 
Ndugu mimi huwa sina desturi ya kujadiliana vilaza. Wewe bishana na ma-house girl ndo size yako..! Mie nipo level nyingine kabisa. You gotta no brain to challenge me..! You are just a little fool with twisted mind..!

Mbwa koko wewe nenda kabishane na maccm ndio size yako kenge maji mkubwa
 
Nakubaliana na wewe 100% umedadavua nyuma ya pazia mkuu!

hahaha kweli mzazi mama wa watu ndivyo anavyo taka ajilidhishe sasa mmewe akiamua kuchange radha akijua anaweza kufa kwa BP
 
Ni mwanadada tunafanya nae kazi, anatarajia mtoto wake wa pili kuzaliwa hivi karibuni (Mungu akijalia). Kinachomtatiza ni kuwa amepata housegirl mpya baada ya aliyekuwepo kuolewa hivi karibuni. Haijui sana historia ya huyu mpya japo anajua kijijini kwao, lakini sio mgeni mjini (aliwahi kufanya kazi sehemu zingine, Arusha). Katika kustorisha na wamama wenzie, huyu dada alishtushwa aliposikia stori (hana uhakika), kwamba kuna watoto wawili wa familia moja waliwahi kupata maambukizi ya HIV wakati wazazi wao wakiwa negative, na ilipokuja kuchunguzwa ikagundulika kuwa HG akikuwa positive, na iliaminika walipata maambukizi kutika kwake ama 'makusudi' au 'bahati mbaya'... Huyu mdada amekuwa na wasiwasi kidogo kwani akiwaza ukweli kwamba mdada wa kazi atakuwa karibu sana na watoto, kuwalisha na kuwasafisha na cares nyingine anahofu isije kutokea 'bahati mbaya'

Ingawa baadhi ya wanawake wenzake wamemshauri akampime mdada wa kazi na kumwambia kuwa hata wao wanafanya hivyo, bado huyu mdada anaona ugumu fulani. Ameniomba ushauri, tukalijadili kidogo lakini haikufika conclusion. Pamoja na kufikiria hiyo chance ya 'bahati mbaya', bado tumezingatia 'haki' za mdada wa kazi (maana ni mtu mzima), lakini pia uhakika kwamba negativity ya mdada huyo kama itakuwa kigezo cha usalama wa watoto. Umekuwepo ugumu kuwa endapo kwa bahati mbaya akikutwa positive, mdada huyu atafanya nini, amfukuze? Sio vizuri.. Na asipomfukuza, hatajikuta akimchukulia kwa wasiwasi sana hali inayoweza kujenga unyanyapaa fulani?

Hebu tupieni ushauri wenu wanajamvi, maana nimeishia kumuambia asifanye hivyo kwanza, wakati akiendelea kupata ushauri wa watu tofauti...

Kwanza kabisa sikubaliani kabisa na mawazo ya huyu dada kwa kuwa ni makosa kisheria kwa mujibu wa sheria ya UKIMWI na pia ni kinyume na haki za binadamu. Ki msingi kupima virusi vya UKIMWI ni voluntary na ni process ambayo ni lazima kumuandaa kwanza mtu anayetaka kupima na sababu za kupima ni lazima ziwe za manufaa ya mteja mwenyewe na si mtu mwingine yeyote.

Hebu huyo dada ajaribu kufikiria kama ndiye yeye analazimishwa kupimwa VVU kwa manufaa ya mtu mwingine atajisikiaje? Isitoshe coincidance iliyokea kwa mtu mmoja haiwezi fanya kuwa ndio utaratibu wa kuwapima wengine bila ridhaa yao. Kama huyu dada hamuamini dada wa kazi kuwa anaweza kukaa na mwanae ni bora aache kabisa kuwa na dada wa kazi kwani kama athari kwa mtoto haziwezi kuangaliwa kwenye angle moja tu ya kuambikizwa kwa makusudi.
 
Kupima ni lazima... Kulingana na unyeti wa ishu yenyewe sitamtonya dada as anaweza kukataa but nitafanya hivyo kwa usalama wa wanangu.

Prevention is better than cure.. Hawa wadada wanatufanyia mengi nyumbani hivyo ni bora kuwa na uhakika na afya zao..

Incase yuko positive.. Nitajipanga kwa kipind hata cha 1 wiki .. Natengeneza hata story ya kuwa familia imepata dharura ya kusafiri hivyo arudi kwao tukirudi tutamjuza.. ndo imetoka hyo unamuaga vizuriiiii.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Stupid woman! wewe umepima mpaka upime wenzako? unaongea nonsense hapa na kujaza ujinga wenzako, kwa mshahara gani unaomlipa house girls ambazo uchukue hata haki zake za msingi! Why dont you work alone mpaka umdhalilishe binti wa watu kwa kumpima kwa nguvu kwa sababu ya hiyo elfu hamsini yako ya kila mwezi? how many times waume zenu wanawadhalilisha wafanyakazi wa ndani kwa kuwabaka na kuwaambikiza Virisi?
 
sina na wala sihiitaji HG ..

ushauri wa Roulette umetulia sana. naupedekeza tena
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kabisa sikubaliani kabisa na mawazo ya huyu dada kwa kuwa ni makosa kisheria kwa mujibu wa sheria ya UKIMWI na pia ni kinyume na haki za binadamu. Ki msingi kupima virusi vya UKIMWI ni voluntary na ni process ambayo ni lazima kumuandaa kwanza mtu anayetaka kupima na sababu za kupima ni lazima ziwe za manufaa ya mteja mwenyewe na si mtu mwingine yeyote.

Hebu huyo dada ajaribu kufikiria kama ndiye yeye analazimishwa kupimwa VVU kwa manufaa ya mtu mwingine atajisikiaje? Isitoshe coincidance iliyokea kwa mtu mmoja haiwezi fanya kuwa ndio utaratibu wa kuwapima wengine bila ridhaa yao. Kama huyu dada hamuamini dada wa kazi kuwa anaweza kukaa na mwanae ni bora aache kabisa kuwa na dada wa kazi kwani kama athari kwa mtoto haziwezi kuangaliwa kwenye angle moja tu ya kuambikizwa kwa makusudi.
Poa mkuu. Ila hebu jiulize kuna nchi zingine ukitaka kwenda unapimwa magonjwa kibao ikiwemo hiv ndipo unapewa visa... Tena hata majibu hawakupi...
 
Back
Top Bottom