Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

National Anthem

JF-Expert Member
Aug 9, 2022
19,177
56,019
NB Picha hazitakiwi, kinachotakiwa mawasiliano tu.

Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza (life partner). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu.

Sifa zake :
Ajira: Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato: Jamaa ana kipato kizuri (daraja la kati)
Elimu: Ana mawe mawili
Makazi: Dar es Salaam
Imani: Roman Catholic
Haiba: Yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi wanawake ovyo ovyo, mpole sana, hatumii fegi.

Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapokutana nae muhusika, kikubwa awe ni mwanamke.

Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.
 
Kuna rafiki yangu, anatafuta mwenza ( life partner ). Mwanamke alie serious aje PM nipe connection na huyo rafikia yangu..

Sifa zake :
Ajira : Ni mtaalamu wa miradi wa kujitegemea
Kipato : Jamaa ana kipato kizuri ( daraja la kati )
Elimu : Ana mawe mawili
Makazi : Dar es Salaam
Imani : Roman Catholic
Haiba: yupo kama bodyguard wa JPM yule black, sio mlevi, hapendi mademu, mpole sana , hatumii fegi.

Sifa za mwanamke:
Naona awe mwanamke yoyote macho ya jamaa yatachuja atapo kutana nae muhusika..
kikubwa awe ni mwanamke .

Asante, kwa mdada ataekuwa tayari anicheki PM nitawaunganisha na jamaa moja kwa moja.
Huyo jamaa pamoja na kipato na elimu yake hana simu? Mbona unampostia wewe?

Mkuu sema tu ni wewe, usije na gia za kumsingizia jamaa yako
 
1688369875239.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom