Anatafutwa muhudumu wa kufuga kuku

Anatafutwa muhudumu wa kufuga kuku

Kama hujapata piga hii namba 0744140491 kuna dogo mzoefu wa hyo kazi hajasomea lkn anauzoefu kama atakufaa mtafte
 
Mkuu utapeli haupo bagamoyo pekee, na siyo kwamba bagamoyo hamna mashamba halali ndiyo maana katika suala la kutaka kujiridhisha nipo tiyari kwenda popote Ili uhalali uonekane wazi, iwe polisi ama mahakamani mimi sioni shida kwa kuwa hii ni Mali yangu halali na sijawahi kuuzia mtu yoyote kabla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niajiri kama daktari wako mkuu.... nitahakikisha wakua vizuri na kukupa matokeo chanya kama uko tayari utani pm
 
Anatafutwa mhudumu mwenye uzoefu wa kufuga kuku wa kisasa, awe anaelimu, ujuzi na uzoefu wa kutosha kuhudumu kuku 1000 kwa mpigo,jitokeze kwa mahojiano sasa.
Mkuu ushampata kuna kijana anahitaji kazi ni mchapakazi kama hujampata nitext inbox
 
Back
Top Bottom