Anatafutwa mrembo "mtamu" nusu fainali

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,293
3,965
Kuna timu moja inajiita "tamu" inawindwa vilivyo na mnyama.

Kwa kipindi kirefu imekuwa ikipokea wageni toka nje ili kuwapa utamu wake lakini mnyama amekuwa akikichafua hadi wanashindwa kupeana utamu wenyewe.

Washabiki wengi wa timu hii ni hamnazo maana wanadanganywa sana na wanadanganyika.Ole wake atakayejipendekeza kwa mnyama siku hizi zilizobaki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom