Whatsapp nimeshafika jamaa kanikana zaidi ya mara tatu!!!kakana na tangazo lakeHizo habari za tumbo, ziwa na tak* jamaa hata hajazizungumzia! ๐
Wewe nenda WhatsApp, muonyeshe mkali huko huko, wenda atabadili vigezo. ๐
Whatsapp nimeshafika jamaa kanikana zaidi ya mara tatu!!!kakana na tangazo lake
Kwahiyo dada hutakiwi๐Whatsapp nimeshafika jamaa kanikana zaidi ya mara tatu!!!kakana na tangazo lake
Acha nikale keki nikanyage mafuta naweza pata mstaafu aliyefiwa mke.Basi sio mchongo kumbe! We piga kimya achana nae. ๐
Kwahiyo dada hutakiwi๐
Hatutakiwi dada. Sifa zangu kule juu zimemshinda.Kwahiyo dada hutakiwi๐
Naandaa sadaka ya kujimaliza twende wote๐Acha nikale keki nikanyage mafuta naweza pata mstaafu aliyefiwa mke.
Aiseeeh basi tumekosa mume๐ฅนHatutakiwi dada. Sifa zangu kule juu zimemshinda.
Acha nikale keki nikanyage mafuta naweza pata mstaafu aliyefiwa mke.
Ni kweli tatizo uongo sijazoea .Kwa kweli aisee! Sasa sema wewe umekosea ungepunguza umri na useme una tutoto tuwili. Huo umri 49 bado kidogo unastaafu kwa mujibu wa sheria. ๐
Twende tu mi pochi limejaa sadaka kila aina ya sadaka ntakuwa mbele kwa babaNaandaa sadaka ya kujimaliza twende wote๐
Inaruhusiwa kuolewa na mume mbili? Sema napenda ufupi wake sana.
We ndo mwanamke wa kwanza kukuona unasema unapenda mwanaume mfupi.Inaruhusiwa kuolewa na mume mbili? Sema napenda ufupi wake sana.
Wewe ulishauliza wanawake wote?We ndo mwanamke wa kwanza kukuona unasema unapenda mwanaume mfupi.
Hamna lakini walio wengi huwa hawatupendi.Wewe ulishauliza wanawake wote?
wewe unanifaa kabisa.Umri 49.
Sifa
.Tumbo lipo
.Ziwa ndala
.Tako ubapa
.rangi nyeupe
Kazi sina
.watoto saba
Vp nije Whatsapp??
Ok sawa.Hamna lakini walio wengi huwa hawatupendi.