win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 2,604
- 7,472
kajiajiri nenda ukafunguliwe ofisi dada😂😂😂Aiiii kasema mwenye Kaz na mwajiriwa sisi wengine tupo Kwa wazaz bado 😄
kajiajiri nenda ukafunguliwe ofisi dada😂😂😂Aiiii kasema mwenye Kaz na mwajiriwa sisi wengine tupo Kwa wazaz bado 😄
Ofisi ya kua mama wa nyumban kuosha vyombo na kupika sio😂 mshahara watoto siokajiajiri nenda ukafunguliwe ofisi dada😂😂😂
Hakuna kila kitu brooInama hauna HATA mzigo vipi HATA guu bibie
Noma sana , kizombie zombie😀😀🙌🙌Hakuna kila kitu broo
Ofisi ya kua mama wa nyumban kuosha vyombo na kupika sio😂 mshahara watoto sio
Mweusi muwhatt? Mi sina pesa kwanza mwenyewe natafuta mwenye pesa😀
Kiufupi mwendo wa ki zombieNoma sana , kizombie zombie😀😀🙌🙌
Mnadhambi 😄Kiufupi mwendo wa ki zombie
umesahau kufua na kwenda majarubani kulima mpunga🤣🤣🤣🤣Ofisi ya kua mama wa nyumban kuosha vyombo na kupika sio😂 mshahara watoto sio
Kulima Tena 😄😄😄 hanipati kwakwel mwili sio wa kunyanyua vifusi vya shambanumesahau kufua na kwenda majarubani kulima mpunga🤣🤣🤣🤣
Dhambi zenye uhalisia hizi.Mnadhambi 😄
Tutapigana tuuwane mfupi🫢Seran anafaa kabisa hapa mkuu, ni yeye tuu. 😁
Shaur yako bahat inapita hiyoMimi nipo mbali na duniaa😂
Inipite tu kwakweli, mwanaume namfikiria lazima awe wa kugombania sana huko nje😆Shaur yako bahat inapita hiyo
Tutapigana tuuwane mfupi🫢
Tatizo sina vigezo mkuu😆Unapiga mume? Watu sikuhizi washa jiishia, unapiga kabali anakata roho.😁
We kubali ukute mkali ana life yake imenyoka. 😁
Umri 49.
Sifa
.Tumbo lipo
.Ziwa ndala
.Tako ubapa
.rangi nyeupe
Kazi sina
.watoto saba
Vp nije Whatsapp??