Umri wangu umegoma kupata mume Kwa Sasa acha niwe mpenz mtazamaji 😄
jaribu bahatiVigezo ndo vimenikosesha mume..... Umri jamani umri umenifanya nikose kijana mfupi mweusi
Jaribu bahati yakoUmri wangu umegoma kupata mume Kwa Sasa acha niwe mpenz mtazamaji 😄
Umri 49.jaribu bahati
alie jiajiri😂😂😂Vigezo ndo vimenikosesha mume..... Umri jamani umri umenifanya nikose kijana mfupi mweusi
Labda uwe na hela.... vinginevyo wanawake wakiona hiki kipengele wanasonya●mfupi mweusi
Yaani mie nimemkosa karibu wewe mdogo wangu. Chukua cheusi mangara hiyoalie jiajiri😂😂😂
kasema anataka kabila lolote ila kachagua mikoa mitatu,, mi sipo huko kote labda tumtafutie mtu mwingine 😆Yaani mie nimemkosa karibu wewe mdogo wangu. Chukua cheusi mangara hiyo
Mume kajiajiri atakuhamisha tu dada pesa ipo..... Jiandae na gubu la mtu mfupi mweusikasema anataka kabila lolote ila kachagua mikoa mitatu,, mi sipo huko kote labda tumtafutie mtu mwingine 😆
Mkuu 30 Kwa 37 ebo!Sifa zake
● Umri kuanzia miaka 20 hadi 37
● Awe muajiriwa au amejiajiri
●Dini yeyote.
● Kabila lolote
● kama ana mtoto awe mmoja tu
Sifa za mtafutaji
●mfupi mweusi
●Mpole kiasi
● amejiajiri
●umri miaka 30
mawasiliano whatsapp 0718569091
Akipatikana maeneo haya ni sawa Geita, Mwanza na Shinyanga
Inamana hauna HATA mzigo vipi HATA guu bibieUmri 49.
Sifa
.Tumbo lipo
.Ziwa ndala
.Tako ubapa
.rangi nyeupe
Kazi sina
.watoto saba
Vp nije Whatsapp??