Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,300
Heri ya xmas wana jukwaa.
Kidogo mi sio mwenyeji sana hapa,naomba mnikaribishe.
Nimekua nikidate na wanawake wa kiswahili kwa mda mrefu na ni wanawake tofauti tofauti, lengo langu hasa alikua kuwabadilisha bali,nlihitajji mmoja awe mke wangu,ni mwaka wa nne natafuta ila sio siri nmekosa, wanawake wengi wanauswahili sana,mkishazoeana ndani kunakua hakukaliki ni wagomvi wagomvi,wambea,vigeu geu,hawana future,story zoa sio za kujenga story zao ni diamond kajala martin kadinda na wema na mostly ni ile hali ya ugold digger uwa haiwaishi.
Kutokana na tabia hizo ambazo wengi wao wanazo,na nikijumlisha na mifano ya ndoa za ndugu wangu wa karibu,wote walio oa na kuolewa nnavo ziona,najikuta nakata tamaa ya wanawake wa kiswahili, sikua kufikiria kuoa mzungu na hiki ni kati ya vitu mamangu amenikanya nisijekufanya, bro wangu kaoa mzungu so bibi mkubwa anaona haenjoy sana kuwa na mkwewe so hataki na kwangu atokee, potelea pote nimefanya maamuzi nahitaji kuoa mzungu wana mmu kama kunamtu anauzoefi kidogo na hizi ngozi nyeupe naomba ushauri wako na kama kuna angalizo naombeni mnambie nitazingatia, pia kwa hapa bongo niwapi naweza kuwapata kwa urahisi,swala la kutongoza alinipi shida hata kidogo.
Karibuni ama kama kuna mwanake hana tabia kama hizo nicheki tuowane.