Anatafuta nini kwenye simu yangu?

Anatafuta nini kwenye simu yangu?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
Kila nikilala mwaJ huwa anapekua simu yangu.
Nikishtuka na kumkuta na simu yangu huwa anasema anaperuzi internet,
Lakini nikiwa sijalala huwa haombi simu kwa ajili ya kuperuzi internet.
Nimemnunulia simu yake ili ainjoi net haitumii yuko busy tu na simu yangu.
Jamani hivi ni kipi anachokitafuta huko??
 
Last edited by a moderator:
The one who hires the investigatives should be included in the list of suspects,the one who hires the investigatives should be included in the list of suspects,
 
Naungana na mwaJ ni internet tu bas we relaxxxx
 
Last edited by a moderator:
Kila nikilala mwaJ huwa anapekua simu yangu.
Nikishtuka na kumkuta na simu yangu huwa anasema anaperuzi internet,
Lakini nikiwa sijalala huwa haombi simu kwa ajili ya kuperuzi internet.
Nimemnunulia simu yake ili ainjoi net haitumii yuko busy tu na simu yangu.
Jamani hivi ni kipi anachokitafuta huko??

Hata mimi sijui anatafuta nini, ila je we unapungukiwa na kitu kwa yeye kuperuzi simu yako?
 
The one who hires the investigatives should be included in the list of suspects,the one who hires the investigatives should be included in the list of suspects,
attachment.php
 
Kila nikilala mwaJ huwa anapekua simu yangu.
Nikishtuka na kumkuta na simu yangu huwa anasema anaperuzi internet,
Lakini nikiwa sijalala huwa haombi simu kwa ajili ya kuperuzi internet.
Nimemnunulia simu yake ili ainjoi net haitumii yuko busy tu na simu yangu.
Jamani hivi ni kipi anachokitafuta huko??

Tatizo siamini kama kweli kuku hana mapembe! Bado napekua najua ntayaona tu!
 
Bujibuji Ukiona hivyo subiria kwani "Dalili ya mvua ni mawingu". Haiwezekani kila siku aangalie, nahisi anakamilisha upelelezi.
 
Back
Top Bottom