anatafuta dume part 2 nimeweka na picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

anatafuta dume part 2 nimeweka na picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by Babuu blessed, Oct 17, 2012.

 1. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  huyu pet dog ni jike ninaitaji dume hata kwa kukodisha kama atafanikiwa kumpa mimba huyu hapa
   

  Attached Files:

 2. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  We mweu
   
 3. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  mkuu nipo sawasawa wala sijakosea check chini kuna watu nimewa tag ambao walielewa bandiko langu la mwanzo ....huyo mbwa akifanikiwa kuzaa watoto wake nitawauza bei mzuri sana ....
   
 4. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Huyu si bado ananyonya jamani?? Ameanzaje mambo ya wakubwa?
   
 5. by default

  by default JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ninavyoelewa huyu ni jamii ya pet dog awakui hapa ndipo mwisho wake kwa umbo.ni mbwa wa urembo nafkiri nipo correct
   
 6. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Can German Shepherd do it? Nna GS dume kubwa...halijapaona long time now, seriously...not joking, and I feel sorry for my dog not having some fun for such a long time!

  But...awe amepata chanjo zake zote (uthibitisho wa cheti), nitakuonyesha vyeti vya mbwa wangu pia!
   
 7. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hehehe!....
   
 8. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mkuu mbwa yoyote anaweza akamuingia huyo.. au mbwa ya jamii yake tu
   
 9. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  umeshampima ukimwi,joke
   
 10. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  naah siwez kuruhusu hakutane na huyo german shepherd.huyu mbwa kimo chake ni kama cha paka mkubwa sema ametanuka kidogo.inabdi apate mbwa jamii yake .
   
 11. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  jamii yake ndio itakuwa sahii tatizo ni mfupi sana kama paka. mkubwa
   
 12. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,092
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 180
  Haya wenye vijibwa vywa fasheni hiyo kazi kwenu
   
 13. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  mtafutie utamu lasivyo atakuwa zezeta huyo.mi nilikuwa nae muda kidogo umepita sema alikufa wakat nipo masomon akupata matunzo mazuri.alikuwa anapga kelele akiwa na hamu ya kudu kwa kulia badala ya kubweka.mtafutie jike then liasi
   
 14. lono

  lono Senior Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Watu wengine banaamnaboaje???? sasa why hukusema toka mwanzo????
   
Loading...