Anashinda Whatsapp, nashindwa kumbwaga

Anashinda Whatsapp, nashindwa kumbwaga

Kwa mwanaume anayetegemewa kuwa baba bora na mwangalizi mzuri wa familia yake, maneno ya commanding kama.."kwanzia leo sitaki..,," sipendi.." ndio yanafaa kwa mwanamke, na mwanamke anayejua kutofautisha nafasi yake na ya mwanaume anakuwa anaelewa nini umesema, tatizo la vijana wa sasa wana inferiority complex hasa kwa mwanamke aliyesoma au kumzidi kipato!
Ukitegemea kumbadilisha mwanamke kwa style ya maigizo ya bongo movie umechemsha kijana, hebu muoneshe uanaume wako.
 
Ukitaka asiye na mapungufu muumbe wako....

Ulitakiwa ujue mapungufu yake yote na ujitathmini je unaweza kuyakabili na kuyakubali??????

Maana hata umchunguze miaka 7 kama mnasomea udaktari kama hujajielewa mtaishia kuongeza watoto tu hadi watano
 
mbona wataka tubadili tabia kama kuna uwezekano wa kuumba nipendacho!
 
Kwa mwanaume anayetegemewa kuwa baba bora na mwangalizi mzuri wa familia yake, maneno ya commanding kama.."kwanzia leo sitaki..,," sipendi.." ndio yanafaa kwa mwanamke, na mwanamke anayejua kutofautisha nafasi yake na ya mwanaume anakuwa anaelewa nini umesema, tatizo la vijana wa sasa wana inferiority complex hasa kwa mwanamke aliyesoma au kumzidi kipato!
Ukitegemea kumbadilisha mwanamke kwa style ya maigizo ya bongo movie umechemsha kijana, hebu muoneshe uanaume wako.
nashukuru kwa ushauri
 
naunga mkono hoja ila akikubali mwambie aandike memorandum of understanding na terms of agreement aweke kifungu cha non compliance to social networks n media pia kuwe na sub clause ya mobile phone ringtones and alerts.

na mkataba huo utaambatanishwa na mkataba wa ndoa mtaotia saini kanisani kama addendum to main contract.

HUYO NI BALOTELI WAKO LAZMA UDILI NAYE KI-LIVERPOOL ZAIDI.
duh. Asante. Ngoja nipambane na mwanasheria huyu...
 
Mwambie tu ukweli kwamba hupendi hiyo tabia yake ajirekebishe
 
hizo hasira inaonyesha umemzoesha.. umempa mazingira ya kuwa na hasira mda wote kwa kuwa mnyonge..
 
nahisi hata huyo mtoto sio wako
 
Huyu dada nimemfahamu miaka mitatu iliyopita.

Ni mwanasheria kwenye firm fulani jijini Dar, nilikuwa nina mpango wa kumuoa haraka, ila mmoja wa marafiki zake wa karibu aliniambia nijitahidi kumfahamu kwanza kabla sijaamua kumuoa nadhani alihisi kitu.

Kufahamiana naye kwa muda tukaishia kupata mtoto mmoja wa kike ambaye sasa ana miaka miwili.

Ni mwanamke mzuri sana, ni gumzo kila anapopita au kufanya kazi, hata nilitaka nitoane macho na patina mmoja wa firm yake.

Kwa kweli anaita kila jicho ana mengi mazuri, lakini pia ana mapungufu yaliyonipigisha breki kali juu ya tope.

Kwa sasa anaishi na wazazi wake, lakini mara nyingi saba tunalala kwangu. Nafahamika kwao kama mzazi mwenza, kwetu pia kaskazini wanamtambua.

Amekuwa ni mwepesi sana wa kupata marafiki wa kiume, ana hasira za karibu, kujiachiachia sana kwa wanaume imekuwa sehemu ya maisha yake, yeye anadai si wapenzi wake. Wanataniana tu hii ni moja ya sababu iliyonizuia kumuoa.

Nilihisi kama hajiheshimu.hayuko tayari kuishi kama mke wa mtu nikadhani nimwache kwanza ale maisha wakati nami nakula taratibu ingawa nahofu ya magonjwa.

Simu zake sijawahi ziona hata mara moja zikiita kwa sauti toka nimfahamu.anashinda watsapp 24/7.

Facebook kwake ni kama oxgen, kila siku anaongeza wanaume, viber anatumiwa mioyo na mikisi ya wanaume, linkedin pia hayuko mbali.

Nahisi kweli atakuwa ananipenda, lakini kwa hayo nashindwa kuji commit, ila bahati mbaya nashindwa hata kumuacha, hasa ukizingatia nina mtoto naye.

Yaani sijui nifanyeje, nimbwage.

Naona sio waifu matirio.

Ataniua jamani.

Una uhakika huyo ni mtoto wako?
 
you are 99% single.
huyo rafiki yake kama ni wa kike basi mchukue yeye koz anaonyesha anajali boutcha.
 
Hongera kwa kuogopa magonjwa na kuzaa na mwanamke unayesita kumuoa ukihofia ana bwana katika kila mtandao wa kijamii uliopo!!!
Hivi kuwa na marafiki wa kiume ni kosa? Ku chat ni dhambi? Amekwambia ni marafiki tu,na kuthibitisha kuwa wewe ni zaidi ya rafiki kwake akazaa na wewe na si mwingine katika kundi la marafiki alionao,bado tu hujiamini?
Mwenye tatizo ni wewe,hivyo ndivyo alivyo so its either unamkubali na mna move on au unatafuta wa kufanana nawe vinginevyo mtapata mtoto wa pili na wa tatu uje useme unamuoa kwa ajili ya watoto!!!!
 
Duh! Khaaa.
 
Huyu dada nimemfahamu miaka mitatu iliyopita.

Ni mwanasheria kwenye firm fulani jijini Dar, nilikuwa nina mpango wa kumuoa haraka, ila mmoja wa marafiki zake wa karibu aliniambia nijitahidi kumfahamu kwanza kabla sijaamua kumuoa nadhani alihisi kitu.

Kufahamiana naye kwa muda tukaishia kupata mtoto mmoja wa kike ambaye sasa ana miaka miwili.

Ni mwanamke mzuri sana, ni gumzo kila anapopita au kufanya kazi, hata nilitaka nitoane macho na patina mmoja wa firm yake.

Kwa kweli anaita kila jicho ana mengi mazuri, lakini pia ana mapungufu yaliyonipigisha breki kali juu ya tope.

Kwa sasa anaishi na wazazi wake, lakini mara nyingi saba tunalala kwangu. Nafahamika kwao kama mzazi mwenza, kwetu pia kaskazini wanamtambua.

Amekuwa ni mwepesi sana wa kupata marafiki wa kiume, ana hasira za karibu, kujiachiachia sana kwa wanaume imekuwa sehemu ya maisha yake, yeye anadai si wapenzi wake. Wanataniana tu hii ni moja ya sababu iliyonizuia kumuoa.

Nilihisi kama hajiheshimu.hayuko tayari kuishi kama mke wa mtu nikadhani nimwache kwanza ale maisha wakati nami nakula taratibu ingawa nahofu ya magonjwa.

Simu zake sijawahi ziona hata mara moja zikiita kwa sauti toka nimfahamu.anashinda watsapp 24/7.

Facebook kwake ni kama oxgen, kila siku anaongeza wanaume, viber anatumiwa mioyo na mikisi ya wanaume, linkedin pia hayuko mbali.

Nahisi kweli atakuwa ananipenda, lakini kwa hayo nashindwa kuji commit, ila bahati mbaya nashindwa hata kumuacha, hasa ukizingatia nina mtoto naye.

Yaani sijui nifanyeje, nimbwage.

Naona sio waifu matirio.

Ataniua jamani.

Umeshtuka nini kakaa. Maana hati ya mwanzoni ilikuwa mbaya.

huyu dada nimemfahamu miaka mitatu iliyopita. ni mwanasheria
kwenye femu fulani jijini dar. nilikuwa nina mpango wa kumuoa
haraka, ila mmoja wa marafiki zake wa karibu aliniambia nijitahidi
kumfahamu kwanza kabla sijaamua kumuoa. nadhani alihisi kitu.
kufahamiana naye kwa muda tukaishia kupata mtoto mmoja wa kike
ambaye sasa ana miaka miwili.
ni mwanamke mzuri sana, ni gumzo kila anapopita au kufanya kazi,hata
nilitaka nitoane macho na patina mmoja wa firm yake. kwa kweli anaita
kila jicho. ana mengi mazuri, lakini pia ana mapungufu yaliyonipigisha
breki kali juu ya tope.
kwa sasa anaishi na wazazi wake, lakini mara nyingi saba tunalala
kwangu. nafahamika kwao kama mzazi mwenza, kwetu pia kaskazini
wanamtambua.
amekuwa ni mwepesi sana wa kupata marafiki wa kiume, ana hasira za
karibu. kujiachiachia sana kwa wanaume imekuwa sehemu ya maisha
yake. yeye anadai si wapenzi wake. wanataniana tu.hii ni moja ya
sababu iliyonizuia kumuoa.nilihisi kama hajiheshimu.hayuko tayari
kuishi kama mke wa mtu.nikadhani nimwache kwanza ale maisha
wakati nami nakula taratibu ingawa nahofu ya magonjwa.
Simu zake sijawahi ziona hata mara moja zikiita kwa sauti toka
nimfahamu.anashinda watsapp 24/7. facebook kwake ni kama
oxgen.kila siku anaongeza wanaume.viber anatumiwa mioyo na mikisi
ya wanaume.linkedin pia hayuko mbali.
nahisi kweli atakuwa ananipenda, lakini kwa hayo nashindwa kuji
commit. ila bahati mbaya nashindwa hata kumuacha, hasa ukizingatia
nina mtoto naye. yaani sijui nifanyeje, nimbwage.naona sio waifu
matirio. ataniua jamani.
 
wewe mwenyewe nakuona jf 24/7. nikusubiri hadi nichache? ama kweli nyani haoni......
 
Unapanga kuoa mwanasheria?

Ijue sheria kwanza wewe! hawa huwa hawafumaniki hata kidogo! unaweza kumkuta anagongwa kabisa na njemba kesi ikawa yako.. "mistake of fact"!

katafutepo hata kasetifiketi ka law ujuepo vijitu jitu vidogo gogo...

kutendwa kupo! inategemeana na mazingira, wewe pamoja na mwanamke mwenyewe!
 
huyu hajiamini kabisa kama umeweza kumzalisha umeshindwa nn kutumia nafasi yako. kama mwanaume.
au ndio kama ile bongo muvi ya Jb na kale kabint Regina.?
 
Akisema hivyo anaweza kutulia kwa muda kidogo ili aolewe na baada ya hapo akaendeleza mchezo wake.
unampa za uso bwana usipojirekebisha na kupunguza mitandao ndoa hakuna na hata ukiingia ndoani vikiendelea nakuacha
kama ni mtu mwenye akili ataacha tu
 
Back
Top Bottom