sr bachelor
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,198
- 800
Nimekumbuka kuna jamaa alioa, ile kumaliza hm tu, mke akawa anaendeleza marafiki hasa wa kiume kwenye facebook, jamaa kaongea wapi..mwanamke anadai jamaa anamwingilia uhuru wake..jama kamrudisha kwao..baada ya wiki baba wa mwanamke akamwita jamaa(mkwe yupo njema kiuchumi) jamaa akawa anajua mkwe anaenda kupachimba na mke akawa anajua jamaa anaenda kukutana na hasira za dingi..ila kufika mkwe akamwambia tu jamaa, kwamba kosa analo yeye hakumlelea binti yake kuwa grown mature woman, na alikuwa anahisi siku njingi ila ndo ameprove kwa sababu grown mature woman hawezi kuwa na mtu(mume) alafu muda wote anachart facebook na marafiki wa kiume kusa uhuru..hayo maendeleo ya familia mnadiscuss saa ngapi..!watchout mkuu kabla ya kufanya maamuzi demu hata asome vp au awe hata jaji kama ana IMMATURITY utaishi maisha ya tabu sana..