Anashawishiwa kufanya ukatili muokoeni haraka

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
566
Hi great thinkers,

Kuna Ndugu yangu wa karibu sana ana elimu ya diploma ya usafirishaji kutoka mombasa bali hana kazi wala pesa anauza miwa. Tatizo Mtaa anaoishi kuna vijana wadogo kiumri na amewazidi maarifa wana mkejeli sana katika mazungumzo na kumteta.

Mabint Pia wanamdharau sana na wala hajawatongoza. Jana Usiku kaniita anataka ushauri kwangu jinsi ya kuzima kijana mmoja nimemsihi kuna mtoto mmoja ana kagari ka urithi anamkejeli sana eti kisa choka mbaya ameghadhibika.
 
Asimfanyie kitu kibaya kitakachomdhuru mwili ama afya yake, asamehe na kusahau akishindwa kabisa amtie hasara ya tairi kama Mara 3 mfukulizo atakipaki kigari chake ndani sipendi dharau
 
Good [HASHTAG]#13megapix[/HASHTAG] Nime Mshauri Akanunue Val Green Na Acid Kali Anokishe Engine Tuone Dharau Zitaendelea?
 
Ole anayecheka Leo!!..... Nimemaliza, akawaambie kuwa hata wao hawana bima ya maisha mazuri
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom