Anasema nimuhudumie kila mwezi

Unalialia nini sasa km huwez si umwache ni vizur amekupa ukweli hiyo pesa wenzako tunatoa kwa siku tu achana na mapenz soma jiajir pata pesa then km unampenda utamkuta yupo tu kwa sasa acha wadau wa mjin wamle kwanza asikuumize kichwa
 
Mkuu 20k kwenye boom sio ya kujiliza ata Kama Ni mwanafunzi bn maana ndani ya mwezi utajikuta amekuja Mara shazi getoni Sasa 20k sio Jambo!

Mteme huyo uone balaa la kununua round moja moja kwa 5K [emoji23][emoji23]
 
Mambo mengine buana, umeombwa 20,000/= tu,unakuja kufungua uzi jf, una umri gani kwanza?
 
Iyo ni pesa ndogo sana kwa mwanaume kulia lia ivyo ,pia huoni kama ilo ni bando la mwez una lipia kula mzigo kuna wenzako wana lipia iyo kwa week wengine kwa siku kutegemea na mtandao [emoji28][emoji28]
Mitandao pendwa gharama zake kubwaaa lakini salama!
 
20000 mbn bei chee mkuu kwa mwezi acha kulia , Siku sikushika nyege mshndo ndoo utajua ni kubwa au ndogo au kama uwezi achana na mapenz kbsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…