Anasema Dinner hawezi Kuja Labda nim...

Anasema Dinner hawezi Kuja Labda nim...

Nilishanunua kuku mzima, chips na vinywaji, akawa hataki kuja kwangu anaogopa kwahiyo nimfungashie nimpelekee(sio mbali na nilipokua nakaa). Nikaona isiwe tabu ilikua saa 4 kasoro usiku nikaanza awamu ya kwanza nkabakiza may be angekuja baada ya kuendelea bembeleza, hola hakuja. Baadae akanicheki karibu tule ugali dagaa, nkamjibu ahsante nikalala. Nkashtuka saa 8 nikagonga awamu ya mwisho 😁. Kesho yake ananipigia analalamika tumbo linamuuma vidonda vya tumbo vimeamka kwa sababu jana alikula dagaa. Sikumjibu kitu alivyokata simu ndio mpaka kesho nikampotezea.
kuna watu wagumu jamani,
 
kama sio mbali si ungempelekea tu jamani, mwenzio aliamsha adi vidonda vya tumbo
 
kama sio mbali si ungempelekea tu jamani, mwenzio aliamsha adi vidonda vya tumbo
Hapo kashanisumbua sana plus vizinga, siku hiyo alitoa ahadi ambayo hakuitekeleza nikaona kuliko niendelee kumfaidisha bora nile mwenyewe. Aliamsha vidonda vya tumbo kwa sababu alikula dagaa na kukosa nilivyokua nimemuandalia hakumfanyia aumwe.
 
Nilishanunua kuku mzima, chips na vinywaji, akawa hataki kuja kwangu anaogopa kwahiyo nimfungashie nimpelekee(sio mbali na nilipokua nakaa). Nikaona isiwe tabu ilikua saa 4 kasoro usiku nikaanza awamu ya kwanza nkabakiza may be angekuja baada ya kuendelea bembeleza, hola hakuja. Baadae akanicheki karibu tule ugali dagaa, nkamjibu ahsante nikalala. Nkashtuka saa 8 nikagonga awamu ya mwisho [emoji16]. Kesho yake ananipigia analalamika tumbo linamuuma vidonda vya tumbo vimeamka kwa sababu jana alikula dagaa. Sikumjibu kitu alivyokata simu ndio mpaka kesho nikampotezea.
[emoji23][emoji23][emoji23] Umetisha sana boss
 
Kuna mrembo mmoja ivi bhana jana nilimualika Dinner/Chakula cha jioni na nilipika haswaa Pongezi kwa YouTube mana nilipata maujanja ya jikoni kule...
.
Sasa bhana muda wa Dinner namcheki akagoma Kuja nikamuuliza nini shida eti ooh naogopa macho ya watu...
.
Nikaona huyu ng'ombe hanijuuui(by Mkojani Voice) eti anataka nimpakulie msosi kwenye hotpot afu nimpelekee[emoji16]
.
Nikaona isiwe kesi nikaita washkaji Tukala Msosi hadi punje ya mwisho...
.
Na hadithi yangu imeishia hapo.

View attachment 2553860
...Jingazz Mkubwa Huyo !... Bora Ulivyoamua !....
 
Hapo ni sawa na umewalisha washikaji zako makombo mana hukuandaa kwa ajili yao.

Kwa huyo demu ingetakiwa uhitimishe kwa kumwambia sema kama huji ili mimi niendelee na mambo yangu [emoji23]
Daaaah mwamba hizi kauli tulikuwa tunatumia sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom