samahani mheshimiwa sijakuelewa.....naomba utumie lugha rahisi zaidi....punguza misamiati.....samahani mkuuusimwamini kivipi? Unajua umekurupuka kuleta mada mkuu!
Nasema hivi kwa sababu, mpenzio kusema usimwamini, usikimbile kwenye tunda la uzima tu,
kuna mambo mengi tu ya kutoaminiana, labda tu mapenzi yenu yako kwenye format ya migegedano!!
Muulize kwanza hili swali kama kweli unampenda, "sweetie, kwanini unasema nisikwamini, na nisikwamini kivipi? Je wewe ni maharage ya mbeya''?
Hii ni assignment rahisi, haihitaji hata kugoogle!
samahani mheshimiwa sijakuelewa.....naomba utumie lugha rahisi zaidi....punguza misamiati.....samahani mkuu
Tafuta utayemuamini...simple n clear
Inawezekana vp aseme aninipenda,,,lakini anaweka wazi kwamba nisimwamini??....hivi inawezekana mapenzi yakawepo bila kuaminiana....??? Ninafikiria kumwacha ....unanishaurije????
...anadai ananipenda kwa dhati na anaonesha upendo na kunijali kabisa kwa dhati.....isipokuwa anasema nisimwamini.......unanishauri nimwache nimtafute mwingine???? Samahani nahitaji unisaidie hapo...shukrani kwa reply yako
ataemuamini au ataeruhusu amuamini shemeji? maana inaelekea anamuamini bidada ila bidada hataki kuaminiwa.
kwani we ni male ama female?
Kama ni female una bahati kupata mtu mkweli sana.
Mkuu tatizo sio huyo mwanadada, tatizo ni wewe kukosa maamuzi magumu yatayoponya nafsi yako...
Huwezi kuambatana na mtu usiyemuamini na nafsi yako inajua kabisa kuwa humuamini...