marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Inawezekana vp aseme aninipenda,,,lakini anaweka wazi kwamba nisimwamini??....hivi inawezekana mapenzi yakawepo bila kuaminiana....??? Ninafikiria kumwacha ....unanishaurije????

nafikiria kumuacha....lakini anionesha mapenzi ya dhati kabisa isipokuwa kauli hiyo yakusema nisimwamini...inaniumiza sana....sina amanikwani wewe umejishaurije?
mimi ninajiamini kabisa.na wewe hujiamini?
mimi ninajiamini kabisa.
nafsi yangu iko njia panda.basi sikiliza nafsi yako
Inawezekana vp aseme aninipenda,,,lakini anaweka wazi kwamba nisimwamini??....hivi inawezekana mapenzi yakawepo bila kuaminiana....??? Ninafikiria kumwacha ....unanishaurije????
....ni kweli kabisa...amenipa tahadhali mapema...lakini mapenzi kwa kusitasita yananiwia vigumu...ni mtihani sana kwa kweli.anaogopa jina hilo la marando si ndo wale wanaojiua na ukoo wao? Huyo ndo mzuri anakutahadharisha mapema. Ila usiingie miguu yote miwili.
.....kusema ukweli mm huwa napenda ukweli hata unaoumiza kuliko uwongo unaofurahisha.....nilipomuuliza kwa nn alisema hajiamini...inakuwa ngumu sana kujua kama ananipima ama vipi...maana kila wakati anasisitiza jambo hili....ni mtihani hakikaunajua tatizo watu wengi hampendi kuambiwa ukweli!!
Hata hivyo ulipaswa kumuuliza kwanini usimwamini?
Pia unapaswa kujua mara nyingi wanawake wanakuwa na maswali yamitego au kauli tata kwaajili yakupima akili ya mtu hasa mnapoanzisha mahusiano' hivyo kama mwanaume unapaswa kujua hayo unapaswa kuwa na upeo mkubwa mara 10 yake!!
kusema ukweli huwa napenda nimpende mtu kwa upendo wa dhati...ndio maana nasema huu ni mtihani....dah mapenzi kazi kwelikwelina we mpende mguu ndani mwingine nje ili muende sawa ...... Na kama unaweza make sure unabenefits even economically...
...anadai ananipenda kwa dhati na anaonesha upendo na kunijali kabisa kwa dhati.....isipokuwa anasema nisimwamini.......unanishauri nimwache nimtafute mwingine???? Samahani nahitaji unisaidie hapo...shukrani kwa reply yakotafuta utayemuamini...simple n clear
usimwamini kama alivyokwambia. watu wanajijua madhaifu yao, ameshajiona si mwaminifu. huyo anakuandaa kisaikolojia siku likitokea la kutokea anakwambia baby nilikwambia usiniamini. mi pia sipendi mtu aniamini sana.