Tembomtata
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 266
- 427
halafu mwanaume tafuta kazi ya maana mwanaume utakuwaje cashier bana...unapokea hela za wanaume wengine wewe unadeposit tu na kuhesabu
toka dirishani huko kuhesabu hesabu hela kama wanawake kawajibike
nenda migodini kachimbe vifusi,nenda bandarini au karushe ndege
hata mimi ningekukataa
bora kuuza gazeti bana huo ndo uanaume unachomwa na jua ...mvua kali ina unaziokota ...sio huyu anasubiri kuzihesabu hela za jasho la wanaume ...aachie mademu kazi hizoSmile duh kazi ni kazi bana hata kuuza gazeti barabarani mradi anajipatia riziki yake
Duh balaa yaani umemuona cashier hawezi kuwa na pesa mbona wengi tuu aise
Dah nimeshindwa kuchangia hata huu uzi
kila siku mdada yupo dirishani hata buku 2 ya juice hajawai kupewaKuna mahali umekosea
ameshindwa kukusoma
asingekubali muende out kama hakukuwa na nafasi ya wewe kumpata
nafasi ilikuwepo,ila kuna kitu umeharibu
unaweza kukuta hata mtu hana
Smile wewe balaa aisebora kuuza gazeti bana huo ndo uanaume unachomwa na jua ...mvua kali ina unaziokota ...sio huyu anasubiri kuzihesabu hela za jasho la wanaume ...aachie mademu kazi hizo
huwa nashangaa sana mwanaume anakuwa houseboy kwa mtu,anafua,anaogesha watoto,anafua khanga za mama mwenye nyumba. anafua boxer za tajiri yake kumfutia viatu kumuoshea gari .anapika na kwenda sokoni nk ..mtu kama huyo ana nguvu kibao tu kilo 80 kwenda mbele ukimuuliza atasema ni bora pesaSmile wewe balaa aise
haya bana ngoja na mimi nikauze gazeti sasa maana umetusema macashier aise
halafu mwanaume tafuta kazi ya maana mwanaume utakuwaje cashier bana...unapokea hela za wanaume wengine wewe unadeposit tu na kuhesabu
toka dirishani huko kuhesabu hesabu hela kama wanawake kawajibike
nenda migodini kachimbe vifusi,nenda bandarini au karushe ndege
hata mimi ningekukataa
why not?ahahaaaUtamkubali akugegede?
Hahahahahaha!why not?ahahaaa
mi nipo kwenye baridi kuliko hata arusha mwenzioHahahahahaha!
Aya bhana!
Karibu Arusha basi.
Ila baridi kali sana kwa sasa so pitia sweater au jacket manzese.